Entertainment

OCTOPIZZO ADOKEZA UJIO WA ALBUM YAKE MPYA

OCTOPIZZO ADOKEZA UJIO WA ALBUM YAKE MPYA

Mkali wa muziki wa hiphop nchini Octopizzo amedokeza ujio wa album yake mpya.

Octopizzo ameweka wazi hilo kupitia ukurasa wake wa Twitter huku akiwawataka mashabiki zake wakae mkao wa kula kuipokea album hiyo ambayo kwa mujibu wake ipo njiani.

Licha ya kutoweka maelezo zaidi kuhusu ujio wa album yake mpya, hii itakuwa ni Album ya sita kwa mtu mzima Octopizzo baada ya “Jungle Fever” iliyotoka mwaka wa 2020.

Kauli ya Octopizzo imekuja mara ya kusherekea mafanikio ya wimbo wake uitwao “Babylon” baada kufikisha zaidi ya views millioni nne kwenye mtandao wa Youtube.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *