OCTOPIZZO ADOKEZA UJIO WA ALBUM YAKE MPYA
Mkali wa muziki wa hiphop nchini Octopizzo amedokeza ujio wa album yake mpya. Octopizzo ameweka wazi hilo kupitia ukurasa wake wa Twitter huku akiwawataka mashabiki zake wakae mkao wa kula kuipokea album hiyo ambayo kwa mujibu wake ipo njiani. Licha ya kutoweka maelezo zaidi kuhusu ujio wa album yake mpya, hii itakuwa ni Album ya sita […]
Read More