Entertainment

TUZO ZA GRAMMY ZAAHIRISHWA KWA MWAKA WA PILI MFULULIZO

TUZO ZA GRAMMY ZAAHIRISHWA KWA MWAKA WA PILI MFULULIZO

Hafla ya Tuzo za Grammy iliyokuwa ifanyike Januari 31 mwaka huu imeahirishwa kufuatia tishio la kirusi cha Omicron.

Waandaaji wa tuzo hizo wametoa taarifa rasmi januari 5 mwaka huu huku tarehe mpya ikiwa bado ni kitendawili.

Huu unakuwa mwaka wa pili mfululizo kwa tuzo hizo kuahirishwa, mwaka jana ziliahirishwa kutoka Januari na kufanyika Machi 14, mwaka wa 2021

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *