Entertainment

RAPPER TEKASHI 69 ATANGAZA UJIO WAKE MPYA

RAPPER TEKASHI 69 ATANGAZA UJIO WAKE MPYA

Rapper mtukutu kutoka nchini Marekani, Tekashi 69  ametangaza ujio wake mpya mara baada ya kutajwa kupata matatizo ya akili kutokana na kufilisika kiuchumi.

69 ambaye anajitamba kama Mfalme wa jiji la New York  ameShare kionjo cha video ya wimbo wake mpya alioutaja kutoka tarehe 15 mwezi huu na kueleza kuwa apishwe njia kwa ujio wake huu wa sasa kwa kuwa ni wakishindo.

Rapper huyo anakumbukwa kwa smash hit yake ya Gooba yenye watazamaji million 781 kwenye mtandao wa Youtube,

Wimbo huo ulitoka mwezi Mei mwaka 2020 na alifanya mara baada ya kutoka jela na kutumikia kifungo cha ndani

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *