RAPPER TEKASHI 69 ATANGAZA UJIO WAKE MPYA

RAPPER TEKASHI 69 ATANGAZA UJIO WAKE MPYA

Rapper mtukutu kutoka nchini Marekani, Tekashi 69  ametangaza ujio wake mpya mara baada ya kutajwa kupata matatizo ya akili kutokana na kufilisika kiuchumi. 69 ambaye anajitamba kama Mfalme wa jiji la New York  ameShare kionjo cha video ya wimbo wake mpya alioutaja kutoka tarehe 15 mwezi huu na kueleza kuwa apishwe njia kwa ujio wake […]

Read More
 RAPPER KUTOKA MAREKANI TEKASHI 69 AKIRI KUFILISIKA KIUCHUMI

RAPPER KUTOKA MAREKANI TEKASHI 69 AKIRI KUFILISIKA KIUCHUMI

Rapa kutoka marekani Tekashi 69 ameripotiwa kufulia kiuchumi hii ni baada ya kuomba mahakama imuonee huruma kutokana na hali mbaya ya kiuchumi anayopitia kwa sasa. Kuhusika kwake na tukio la wizi la mwaka wa 2018 kunamfanya rapa huyo kulipa fidia ndefu ambayo anahofu kuwa itammaliza kabisa kiuchumi. Kwa mujibu wa mtandao wa Complex, kupitia hati […]

Read More
 TEKASHI 69 ADUKULIWA AKAUNTI YAKE YA SPOTIFY

TEKASHI 69 ADUKULIWA AKAUNTI YAKE YA SPOTIFY

Akaunti ya Spotify ya Rapa Tekashi 69 kutoka Marekani imedukuliwa (Hacked)  na wadukuzi. Hii imekuja mara baada ya ghafla kubadilishwa kwa Profile Pic (DP) kwenye akaunti yake hiyo na kuwekwa picha ya Rapa Trippie Red na Lil Durk. Sio hayo tu  Bio ya rapa huyo pia imebadilishwa ambapo kwa wale waliofikia akaunti hiyo kwa muda […]

Read More