Entertainment

KENDRICK LAMAR YUPO NCHINI GHANA KWA KUELEKEA UZINDUZI WA ALBUM YAKE MPYA USIKU WA LEO

KENDRICK LAMAR YUPO NCHINI GHANA KWA KUELEKEA UZINDUZI WA ALBUM YAKE MPYA USIKU WA LEO

Tovuti mbali mbali nchini Ghana zimeripoti kwamba Kendrick Lamar yupo nchini humo kuelekea uzinduzi wa Album yake mpya “Mr. Morale & The Big Steppers” usiku wa Mei 13.

Kendrick ameonekana akiwa na timu yake wakipata chakula kwenye mgahawa mmoja Jijini Accra.

Kwa mujibu wa maelezo ya baadhi ya vyanzo vya habari, Kendrick Lamar yupo nchini Ghana kwa ajili ya Listening Party ya Album yake ikiwa ni sehemu ya ushirikiano na kampuni moja kubwa ya muziki. Lengo lingine la ujio wake nchini humo ni ku-shoot Documentary kwa ajili ya Album yake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *