BOSI WA TOP DAWG AFUNGUKA UHUSIANO WAKE NA KENDRICK LAMAR

BOSI WA TOP DAWG AFUNGUKA UHUSIANO WAKE NA KENDRICK LAMAR

Rais wa Top Dawg Entertainment, Terrence “Punch” Henderson amesema bado anajali kuhusu maendeleo ya rapa Kendrick Lamar licha ya kuachana na Label hiyo mwaka huu. Akizungumza na podcast ya My Expert Opinion Punch amesema “Ninajali kuhusu yeye kiujumla kama binadamu. Ni kama kutumia mfano wa mtoto, kuna wakati wataenda nje, huwezi kwenda nao kila wanapoenda. […]

Read More
 KENDRICK LAMAR KUACHIA ALBUM YAKE MPYA IJUMAA HII

KENDRICK LAMAR KUACHIA ALBUM YAKE MPYA IJUMAA HII

Baada ya ukimya wa takribani miaka 5, rappa Kendrick Lamar anarudi kwenye masikio yako. Kupitia mitandao yak ya kijamii Lamar ametangaza rasmi ujio wa Album yake mpya iitwayo “Mr. Morale & The Big Steppers” ambayo itaachiwa rasmi Kesho Mei 13. Rapa huyo kutoka marekani ameachia Cover ya Album yake mpya “Mr. Morale & The Big Steppers” ambapo ameonekana akiwa amevalia […]

Read More
 RAPPER KENDRICK LAMAR KUKATA KIU YA MASHABIKI ZAKE KWA WIMBO MPYA

RAPPER KENDRICK LAMAR KUKATA KIU YA MASHABIKI ZAKE KWA WIMBO MPYA

Rapa kutoka nchini Marekani Kendrick Lamar ataikata kiu yako ya muziki muda wowote kuanzia sasa. Jarida la BILLBOARD limeripoti kuna uwezekano mkubwa wa Rapa Kendrick lamar kuachia wimbo mpya kati ya Februali 2 au 11 Kabla hajapanda jukwaani katika tamasha la Super Bowl Halftime Show. Tamasha hilo litawakutanisha maRapa kama Dr. Dre, Eminem, Snoop Dog, na linatarajiwa […]

Read More
 KENDRICK LAMAR MBIONI KUKATA KIU YA MASHABIKI ZAKE

KENDRICK LAMAR MBIONI KUKATA KIU YA MASHABIKI ZAKE

Mkali wa michano kutoka Marekani Kendrick Lamar anaweza kudondosha album yake mpya kesho Ijumaa. Hii imekuja kufuatia kuvuja kwa ngoma iitwayo “Therapy Session 9” lakini pia mabadiliko ya picha ya Kendrick Lamar kwenye mtandao wa Spotify. Ni miaka minne tangu Kendrick Lamar asikike kwa upana kwenye masikio ya mashabiki zake kupitia album yake ya mwisho […]

Read More