Entertainment

COUNTRY WIZZY ADOKEZA UJIO WA ALBUM YAKE MPYA

COUNTRY WIZZY ADOKEZA UJIO WA ALBUM YAKE MPYA

Rappa kutoka Tanzania Country Wizzy ametudokeza juu ya ujio wa sehemu ya pili ya Album yake Yule Boy

Kupitia instastory yake kwenye mtandao wa instagram amesema album yake ya “Yule Boy Part 2” itaingia sokoni ndani ya mwaka huu.

Country ambaye kwa sasa anamiliki lebo yake ya muziki, “Yule Boy” ni album yake ya kwanza tangu aanze muziki wake, na ilitoka Novemba mwaka 2019, ikiwa na jumla ya nyimbo 31.

Country Wizzy anafanya poa ngoma yake iitwayo Shauri Lako ambayo ndani kipindi cha mwezi mmoja imefikisha Zaidi ya views laki 3 youtube.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *