COUNTRY WIZZY MBIONI KUJA NA BRAND YAKE YA MAVAZI

COUNTRY WIZZY MBIONI KUJA NA BRAND YAKE YA MAVAZI

Rappa kutoka Tanzania Country Wizzy ameweka wazi mpango wake wa kuingia kwenye baishara ya mavazi ambapo amesema kabla ya mwaka huu kuisha atakuwa tayari ameshafungua duka lake la nguo. Mkali huyo ambaye anafanya vizuri na ngoma yake “You” ametambua kuwa kwa hatua aliyofikia, si muziki wake pekee unaouza, bali ni jina lake ndilo lenye thamani […]

Read More
 COUNTRY WIZZY ADOKEZA UJIO WA ALBUM YAKE MPYA

COUNTRY WIZZY ADOKEZA UJIO WA ALBUM YAKE MPYA

Rappa kutoka Tanzania Country Wizzy ametudokeza juu ya ujio wa sehemu ya pili ya Album yake Yule Boy Kupitia instastory yake kwenye mtandao wa instagram amesema album yake ya “Yule Boy Part 2” itaingia sokoni ndani ya mwaka huu. Country ambaye kwa sasa anamiliki lebo yake ya muziki, “Yule Boy” ni album yake ya kwanza tangu […]

Read More
 RAPPER COUNTRY BOY AMALIZA MKATABA WAKE NA KONDE MUSIC WORLDWIDE

RAPPER COUNTRY BOY AMALIZA MKATABA WAKE NA KONDE MUSIC WORLDWIDE

Msanii wa Bongofleva Country Boy ameachana rasmi na label ya Konde Music Worldwide kufuatia taarifa kwamba mkataba wake umemalizika. Kupitia page rasmi ya KondeGang katika mtandao wa Instagram ,imethibitisha taarifa hiyo kwa kuandika ujumbe wa kumuaga na kumtakia maisha mapya, huku wakiweka wazi kuwa mkataba wake umemalizika rasmi tarehe 8 Januari mwaka wa 2022 kwa […]

Read More