Entertainment

CIARA MBIONI KUACHIA ALBUM MPYA

CIARA MBIONI KUACHIA ALBUM MPYA

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Ciara ametangaza kurejea kwenye muziki baada ya ukimya wa miaka mitatu.

Hitmaker huyo wa ngoma ya ‘Level Up” amedokeza ujio wa Album yake mpya ambayo itakuwa ya Nane tangu aanze safari yake ya muziki mwaka 2002.

Kwa mujibu wa taarifa, inaelezwa kuwa tayari amekamilisha video ya wimbo wake wa kwanza uitwao “Jump” ambao utapatikana kwenye Album hiyo.

Mara ya mwisho Ciara kutubariki na Album ilikuwa Mwaka 2019 alipoachia Album iitwayo “Beauty Marks ambayo ilikuwa na jumla ya mikwaju 10 ya moto.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *