CIARA AKAVA JARIDA LA EBONY, AFUNGUKA KUHUSU ALBUM YAKE MPYA
Mwimbaji nyota wa RnB kutoka Marekani Ciara amelibariki jarida la Ebony toleo la mwezi, Septemba ambapo amefunguka mambo kibao kuhusu muziki, maisha na mengine mengi. Kubwa zaidi ambalo mrembo huyo amelizungumzia ni kuhusu ujio wa album yake mpya ikiwa ni baada ya miaka 3 alipoachia, Beauty Marks. Ciara amesema mategemeo yake ni dunia nzima icheze […]
Read More