Entertainment

KING MICHAEL AMCHANA BEBE COOL KWA KUMUUNGA MKONO CINDY SANYU

KING MICHAEL AMCHANA BEBE COOL KWA KUMUUNGA MKONO CINDY SANYU

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda King Michael amedai kuwa Bebe Cool anataka kumtumia Cindy kwa manufaa yake binafsi.

Katika mahojiano yake King Michael amesema inashangaza kumuona Bebe Cool anamuunga mkono Cindy Sanyu kwenye azma yake ya kuwania urais wa chama cha wanamuziki nchini uganda UMA ikizingatiwa kipindi cha nyuma alikuwa anampinga akiwa anaendeleza harakati zake za kuwatetea wasanii kupitia chama cha UMA.

Utakumbuka Bebe Cool alitangaza hadharani kumuunga mkono Cindy Sanyu kuwania urais chama cha wanamuziki nchini Uganda UMA baada ya Maurice Kirya kushindwa kwenye mchujo wa kuwachagua wagombea wa urais.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *