KING MICHAEL KUANDAA UCHAGUZI MWINGINE WA CHAMA CHA WANAMUZIKI UGANDA

KING MICHAEL KUANDAA UCHAGUZI MWINGINE WA CHAMA CHA WANAMUZIKI UGANDA

Mwanamuziki kutoka Uganda King Micheal ameapa kufadhili mchakato wa kuandaa uchaguzi  mwingine wa Chama cha Wanamuziki Uganda (UMA) baada ya uchaguzi wa chama hicho kuahirishwa ghafla juma lilopita. King Michael ambaye anawakilishi wasanii wa dancehall katika chama  cha UMA amesema kuwa watu walioandaa zoezi la upigaji kura kwa njia ya mtandao katika chama hicho walifeli […]

Read More
 KING MICHAEL AMCHANA BEBE COOL KWA KUMUUNGA MKONO CINDY SANYU

KING MICHAEL AMCHANA BEBE COOL KWA KUMUUNGA MKONO CINDY SANYU

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda King Michael amedai kuwa Bebe Cool anataka kumtumia Cindy kwa manufaa yake binafsi. Katika mahojiano yake King Michael amesema inashangaza kumuona Bebe Cool anamuunga mkono Cindy Sanyu kwenye azma yake ya kuwania urais wa chama cha wanamuziki nchini uganda UMA ikizingatiwa kipindi cha nyuma alikuwa anampinga akiwa anaendeleza harakati zake za […]

Read More