Entertainment

JADA PINKETT AWATAKA WILL SMITH NA CHRIS ROCK KUMALIZA TOFAUTI ZAO

JADA PINKETT AWATAKA WILL SMITH NA CHRIS ROCK KUMALIZA TOFAUTI ZAO

Mwanamama Jada Pinkett amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya tukio la mumewe Will Smith kumchapa kofi mchekeshaji Chris Rock kwenye usiku wa Tuzo za Oscars, 2022.

Jada ambaye alikuwa sababu ya Smith kumtandika kibao Chris Rock, amewataka wawili hao kumaliza tofauti zao.

Kwenye kipindi chake cha “Red Table Talk amesema, “Tumaini langu kubwa ni kwa hawa wanaume wawili wenye akili na uwezo, kupata fursa ya kuzungumzia jambo hili na kupatana. Kwa namna dunia ilivyo leo? Tunawahitaji wote.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *