JADA PINKETT AWATAKA WILL SMITH NA CHRIS ROCK KUMALIZA TOFAUTI ZAO
Mwanamama Jada Pinkett amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya tukio la mumewe Will Smith kumchapa kofi mchekeshaji Chris Rock kwenye usiku wa Tuzo za Oscars, 2022. Jada ambaye alikuwa sababu ya Smith kumtandika kibao Chris Rock, amewataka wawili hao kumaliza tofauti zao. Kwenye kipindi chake cha “Red Table Talk amesema, “Tumaini langu kubwa ni […]
Read More