Entertainment

JOEL LWAGA MBIONI KUACHIA ALBUM YAKE MPYA

JOEL LWAGA MBIONI KUACHIA ALBUM YAKE MPYA

Mwimbaji nyota wa muziki wa Injli nchini Tanzania, mtumishi Joel Lwaga ametangaza ujio wa album yake mpya iitwayo “HIGHER AND DEEPER” ambayo inatoka, Julai mosi mwaka huu.

Akieleza kuhusu ujio wake huo mpya, Joel Lwaga amesema, album hiyo ina jumla ya nyimbo 15 ambapo baadhi ya hitsong zake zitakuwepo huku zikiwa zimerudiwa kwa kupigwa live.

Hata hivyo amewataka mashabiki zake kukaa mkao wa kula kupokea “HIGHER AND DEEPER”   ambayo itapatikana Exclusive kupitia mitandao yote ya kustream muziki duniani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *