Joel Lwaga Asaini Mkataba na Empire Africa

Joel Lwaga Asaini Mkataba na Empire Africa

Mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Tanzania, Joel Lwaga, ametangaza rasmi kusaini mkataba wa usambazaji wa muziki na kampuni kubwa ya kimataifa, Empire Africa. Hatua hii imeonekana kama mwanzo mpya wa ushirikiano wa kibiashara ambao unatarajiwa kupeleka muziki wake katika viwango vya juu zaidi na kumfikisha kwa mashabiki wengi duniani. Kama ishara ya mwanzo wa […]

Read More
 JOEL LWAGA MBIONI KUACHIA ALBUM YAKE MPYA

JOEL LWAGA MBIONI KUACHIA ALBUM YAKE MPYA

Mwimbaji nyota wa muziki wa Injli nchini Tanzania, mtumishi Joel Lwaga ametangaza ujio wa album yake mpya iitwayo “HIGHER AND DEEPER” ambayo inatoka, Julai mosi mwaka huu. Akieleza kuhusu ujio wake huo mpya, Joel Lwaga amesema, album hiyo ina jumla ya nyimbo 15 ambapo baadhi ya hitsong zake zitakuwepo huku zikiwa zimerudiwa kwa kupigwa live. […]

Read More
 JOEL LWAGA ASHINDA TUZO MAREKANI

JOEL LWAGA ASHINDA TUZO MAREKANI

Mwimbaji nyota wa muziki wa Injli nchini Tanzania, Joel Lwaga ameshinda tuzo za Maranatha zilizotolewa huko Pennsylvania, nchini Marekani. Tuzo hizo ambazo zimefanyika mwishoni mwa wikiendi katika ukumbi wa Grand Gala na kuhudhuruwia na mamia ya watu wakiwemo wadau wa neno la Mungu na waimbaji wenyewe, iliwakutanisha miamba mbalimbali wa tasnia hiyo katika vipengele mbalimbali. […]

Read More