Entertainment

KELECHI AFRICANA AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA

KELECHI AFRICANA AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA

Msanii wa muziki nchini Kelechi Africana ameachia rasmi album yake mpya inayokwenda kwa jina la The Sound Chief Experience.

The Sound Chief Experience ina jumla ya nyimbo 16 za moto ambazo amezifanya bila kumshirikisha msanii yeyote.

Album hiyo ambayo inapatikana kwenye app ya Hustle Sasa ina nyimbo kama Sorry, Kabisa, Friend, Njoo, Mine na nyingine nyingi.

Hii ni album ya kwanza kwa mtu mzima Kelechi Africana ikizingatiwa kuwa mwaka wa 2020 aliwabariki mashabiki zake na ep iitwayo Keep It Fleek ambayo ilikuwa na jumla ya mikwaju 4 ya moto.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *