Kelechi Africana Awataka DJs Waheshimu Kazi za Wasanii Kenya

Kelechi Africana Awataka DJs Waheshimu Kazi za Wasanii Kenya

Msanii wa muziki kutoka Pwani, Kelechi Africana, ameonyesha kutoridhishwa na tabia ya baadhi ya madj wanaodhibiti sauti za nyimbo wakati wasanii wanatoa burudani kwa mashabiki zao jukwaani. Kupitia ujumbe wake mitandaoni, Kelechi amesema madj wengi wamekuwa wakipunguza sauti ya playback mara tu msanii anapopanda jukwaani, hali inayowafanya mashabiki kupoteza hamasa. Ameeleza kuwa mara nyingi muziki […]

Read More
 Kelechi Africana akanusha kumtelekeza mtoto wake

Kelechi Africana akanusha kumtelekeza mtoto wake

Msanii Kelechi Africana amepuzilia mbali tuhuma za kumtelekeza mtoto wake. Kelechi amesema madai ya kumkimbia mtoto wake hayana msingi wowote ikizingatiwa kuwa amekuwa akitekeleza majukumu yake kama baba. Hitmaker huyo wa “Nimechoka” amesema baby mama wake anatafuta umaarufu kupitia jina lake kwa kutengeneza lawama ambazo hazina ukweli. Kauli ya Kelechi inakuja mara baada ya taarifa […]

Read More
 Kelechi Africana akamatwa na polisi

Kelechi Africana akamatwa na polisi

Msanii kutoka nchini Kenya Kelechi Africana anashikiliwa na polisi kwa kosa la kumtelekeza mtoto wake. Akizungumza na Msenangu FM baby mama wa msanii huyo anayejulikana kama Shinaz Shaz amedai kwamba msanii huyo amekwepa majukumu yake kama baba. Shaz anasema jambo hilo lilimfanya amtumie maafisa wa usalama alipokuwa kwenye show huko Voi siku ya ijumaa wiki […]

Read More
 KELECHI AFRICANA AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA

KELECHI AFRICANA AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA

Msanii wa muziki nchini Kelechi Africana ameachia rasmi album yake mpya inayokwenda kwa jina la The Sound Chief Experience. The Sound Chief Experience ina jumla ya nyimbo 16 za moto ambazo amezifanya bila kumshirikisha msanii yeyote. Album hiyo ambayo inapatikana kwenye app ya Hustle Sasa ina nyimbo kama Sorry, Kabisa, Friend, Njoo, Mine na nyingine […]

Read More