Gossip

RONNIE MULINDWA ACHUKUA GARI ALIYOMZAWADI MSANII LYDIA JAZMINE

RONNIE MULINDWA ACHUKUA GARI ALIYOMZAWADI MSANII LYDIA JAZMINE

Meneja wa muziki nchini Uganda Ronnie Mulindwa ameripotiwa kuchukua gari aliyokuwa amempa aliyekuwa msanii wake Lydia Jazmine kipindi cha nyuma.

Hii imekuja mara baada ya wawili hao kusitisha kufanya kazi pamoja kutokana na mzozo wa fedha.

Ingawa jazmine awali alidai kuwa gari hilo lilinunuliwa kwa pesa zake lakini inaonekana hakuisajili akitumia jina lake.

Juzi kati kwenye Birthday Party ya Nina Roz, Lydia Jazmine alisema tayari ameagiza gari lingine jipya ambayo ni nzuri ya mercedes benz ambayo meneja wake wa zamani alichukua kutoka kwake.

Utakumbuka kwa sasa anafanya kazi na meneja wake wa zamani Bushingtone.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *