Entertainment

NADIA MUKAMI AFIKISHA SUBSCRIBERS LAKI 5 YOUTUBE

NADIA MUKAMI AFIKISHA SUBSCRIBERS LAKI 5 YOUTUBE

Nyota wa muziki nchini Nadia Mukami amefanikiwa kufikisha idadi ya subscribers laki 5 kwenye mtandao wa Youtube.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Nadia Mukami amewashukuru mashabiki zake kwa upendo ambao wanazidi kumuonyesha kupitia kazi zake huku akiwataka wakae mkao wa kula kupokea wimbo wake mpya.

“Thank you for Half a Million Subscribers!!! (500k)I have the realest Fanbase aka KaNadians God bless you all! New Music Loadingggg……” Ameandika.

Channel ya youtube ya Nadia Mukami ilifunguliwa rasmi Mei 19 mwaka 2017 na mpaka sasa imefikisha zaidi ya watazamaji millioni 63.4 huku ikiwa na jumla ya subscribers 500, 000.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *