Nadia Mukami Akataa Shinikizo za Kupunguza Uzito

Nadia Mukami Akataa Shinikizo za Kupunguza Uzito

Msanii wa muziki nchini Kenya Nadia Mukami amewajibu kwa kejeli walimwengu wanaomtaka apunguze uzito, akisema wazi kuwa hana mpango wowote wa kupunguza uzito kwa sasa hasa baada ya kuongeza makalio. Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, Nadia amesema kuwa amekuwa akipokea maoni mengi kutoka kwa baadhi ya watu wanaodai mwili wake umebadilika na kumshauri […]

Read More
 Nadia Mukami Apinga Madai ya Kuhamasisha Uasherati Kupitia Wimbo wa Woza Woza

Nadia Mukami Apinga Madai ya Kuhamasisha Uasherati Kupitia Wimbo wa Woza Woza

Staa wa muziki kutoka Kenya, Nadia Mukami, amepinga vikali madai yanayotembea mtandaoni kuwa wimbo wake mpya uitwao Woza Woza unahamasisha uasherati katika jamii. Kupitia mitandao yake ya kijamii, Nadia amesema kuwa wasanii wa kike hukumbwa na hukumu kali zaidi ikilinganishwa na wanaume wanapotoa kazi zinazogusa mada nyeti katika jamii. Ameeleza kuwa mara nyingi wanaume huachwa […]

Read More
 Nadia Mukami Atangaza Mshindi wa Woza Challenge

Nadia Mukami Atangaza Mshindi wa Woza Challenge

Msanii wa muziki nchini Kenya, Nadia Mukami, ametangaza rasmi mshindi wa Woza Challenge iliyotikisa mitandao ya kijamii kwa wiki kadhaa. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Nadia amesema haikuwa kazi rahisi kumchagua mshindi kutokana na ubunifu mkubwa ulioonyeshwa na washiriki wengi, lakini hatimaye Paida Mitumba aliibuka kidedea. Kwa mujibu wa Nadia, video ya Paida […]

Read More
 Nadia Mukami Ashindwa Kuficha Furaha Baada ya Wimbo Wake Kushika Namba Moja YouTube Kenya

Nadia Mukami Ashindwa Kuficha Furaha Baada ya Wimbo Wake Kushika Namba Moja YouTube Kenya

Msanii wa muziki kutoka Kenya, Nadia Mukami, ameshindwa kuficha furaha yake baada ya wimbo wake mpya Woza kushika nafasi ya kwanza kwenye chati ya YouTube Trending Kenya. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Nadia amewashukuru mashabiki wake pamoja na Mungu kwa mafanikio hayo makubwa, akieleza kuwa mapenzi na sapoti ya mashabiki ndiyo yameufikisha wimbo huo kileleni […]

Read More
 Nadia Mukami Akanusha Kuiba Ubunifu wa Zuchu na Kutumia Kwenye Wimbo Wake Mpya

Nadia Mukami Akanusha Kuiba Ubunifu wa Zuchu na Kutumia Kwenye Wimbo Wake Mpya

Msanii wa muziki kutoka Kenya, Nadia Mukami, ameweka wazi msimamo wake kufuatia madai yaliyosambaa mitandaoni kwamba wimbo wake mpya Woza ulinakiliwa au kusampuliwa kutoka kwa msanii wa Tanzania, Zuchu. Akizungumza kuhusu suala hilo, Nadia amesisitiza kuwa Woza haujanakiliwa wala kusampuliwa kutoka kwa wimbo wowote wa Zuchu. Ameeleza kuwa kilichofanyika ni yeye na mtayarishaji wake, Teknixx, […]

Read More
 Nadia Mukami na Arrow Bwoy Wakaribisha Mtoto wa Pili

Nadia Mukami na Arrow Bwoy Wakaribisha Mtoto wa Pili

Msanii maarufu wa muziki wa Kenya, Nadia Mukami, na mchumba wake ambaye pia ni mwanamuziki, Arrow Bwoy, wametangaza kwa furaha ujio wa mtoto wao wa pili, wakimpa jina Ameer Kiyan. Kupitia mitandao ya kijamii, wawili hao walishiriki habari hizo njema pamoja na picha ya kumshukuru Mungu kwa zawadi hiyo mpya katika familia yao. Ujio wa […]

Read More
 Nadia Mukami Atoa Kauli Nzito Kuhusu Single Mothers

Nadia Mukami Atoa Kauli Nzito Kuhusu Single Mothers

Staa wa muziki, Nadia Mukami, amefunguka ya moyoni kuhusu unyanyapaa unaowakumba kina mama wanaolea watoto wao pekee yao (single mothers). Kupitia mitandao ya kijamii, Nadia ameeleza masikitiko yake kuhusu namna jamii imezoea kuwaelekezea lawama wanawake hao, huku ikiwapuuza kabisa wanaume waliokimbia majukumu yao ya malezi (deadbeat dads). Amebainisha kuwa sababu za mwanamke kuwa mama mlezi […]

Read More
 Wasanii Wapaza Sauti Kufuatia Kujeruhiwa kwa Arrow Bwoy na Polisi Wakati wa Maandamano ya Amani

Wasanii Wapaza Sauti Kufuatia Kujeruhiwa kwa Arrow Bwoy na Polisi Wakati wa Maandamano ya Amani

Tukio la kujeruhiwa kwa msanii mashuhuri wa muziki wa Kenya, Arrow Bwoy, na polisi wakati wa maandamano ya amani limezua taharuki kubwa mitandaoni na kusababisha wasanii wenzake kuibua hisia kali za hasira na kukemea ukatili wa polisi. Arrow Bwoy alikuwa ameungana na rapa maarufu Khaligraph Jones pamoja na raia wengine katika maandamano ya kupinga ukatili […]

Read More
 Nadia Mukami akanusha madai ya kufadhiliwa kufungua Saloon

Nadia Mukami akanusha madai ya kufadhiliwa kufungua Saloon

Msanii Nadia Mukami amejitokeza na kukanusha madai kwamba Saloon iliyozinduliwa hivi karibuni imefadhiliwa na mdhamini, na kwamba yeye ni wakala tu wa kutangaza Saloon hiyo. Akizungumza na Nairobi news, Nadia amefichua kuwa saloon iliyofunguliwa mwezi Disemba 2022 ni jasho lake na timu yake inaweza kuthibitisha hilo. “Siku zote watu watanikosoa kwa njia mbaya, wengine watadai […]

Read More