Entertainment

Vera Sidika atumia millioni 2 kuongeza maziwa

Vera Sidika atumia millioni 2 kuongeza maziwa

Mrembo kutoka nchini Kenya, Vera Sidika amefichua kiasi cha fedha alichotumia kufanyiwa upasuaji wa kuongeza matiti yake.

Akijibu maswali kwenye ukurasa wake wa Instagram, mke huyo wa Brown Mauzo alisema kuwa alitumia zaidi ya shillingi millioni 2 na upasuaji huo ulifanyiwa nje ya nchi ya Kenya.

“Ilinigharimu dola elfu 20,” alisema Vera ambaye ni Mama wa mtoto mmoja.

Lakini pia ameweka wazi kuwa baada ya kujifungua bintiye mwaka jana, aliweza kumnyonyesha bila matatizo yoyote kwani alichagua upasuaji ambao ungemwezesha kunyonyesha bila tashwishi yoyote.

Sidika alipoulizwa kama matiti yake bado yako imara hata baada ya kujifungua alisema kuwa hayajawahi kulegea licha ya kumnyoyesha mtoto wa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *