Vera Sidika Awaziba Midomo Wambea kwa Video Mpya Akila Bata Dubai Baada Kudaiwa Kufilisika Kiuchumi

Vera Sidika Awaziba Midomo Wambea kwa Video Mpya Akila Bata Dubai Baada Kudaiwa Kufilisika Kiuchumi

Socialite kutoka Kenya, Vera Sidika, ameamua kuwajibu watesi wake baada ya kuzuka kwa madai kuwa ameshindwa kulipa kodi ya nyumba yake ya kifahari (mansion) na kulazimika kuondoka. Kupitia video aliyochapisha akiwa Dubai, Vera ameonekana akila bata, akifurahia maisha ya kifahari na mazingira ya kuvutia, hatua ambayo wengi wameitafsiri kama ujumbe mzito kwa waliokuwa wakimshambulia mitandaoni. […]

Read More
 Vera Sidika Akanusha Madai ya Kufulia Kiuchumi

Vera Sidika Akanusha Madai ya Kufulia Kiuchumi

Socialite kutoka Kenya, Vera Sidika, amekanusha madai yanayotembea mitandaoni kuwa amefulia kiuchumi kiasi cha kushindwa kulipa kodi ya mansion aliyokuwa akiishi mwaka jana. Kupitia Insta Story yake, Vera Sidika amepuuza kabisa madai hayo akisema ni uzushi mtupu. Mrembo huyo, amesema kwa zaidi ya miaka 13 sasa, kuna baadhi ya watu wamekuwa wakimuombea afeli kimaisha, jambo […]

Read More
 Vera Sidika Amuomboleza Raila Odinga Katika Siku ya Mashujaa

Vera Sidika Amuomboleza Raila Odinga Katika Siku ya Mashujaa

Socialite wa Kenya, Vera Sidika, ameonyesha huzuni yake kubwa kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Amolo Odinga, akimkumbuka kama shujaa wa kweli wa taifa. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Vera amechapisha ujumbe wenye hisia kali akieleza kuwa maadhimisho ya Mashujaa Day mwaka huu yamekuwa tofauti kwani yanakuja siku tano tu baada ya […]

Read More
 Vera Sidika Azua Mjadala Mpya Baada ya Upasuaji wa Mdomo

Vera Sidika Azua Mjadala Mpya Baada ya Upasuaji wa Mdomo

Socialite wa Kenya, Vera Sidika, amethibitisha kwamba amefanyiwa upasuaji wa mdomo (lip procedure) wiki chache tu baada ya kupitia upasuaji wa kuinua maziwa (breast lift). Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Vera amesema kuwa upasuaji huo ni sehemu ya safari yake ya kujiboresha na kurejesha muonekano anaoupenda. Ameongeza kuwa yuko kwenye hatua ya kupona, na matokeo […]

Read More
 Vera Sidika Azima Uvumi wa Mpenzi Kupiga Picha Zake

Vera Sidika Azima Uvumi wa Mpenzi Kupiga Picha Zake

Socialite maarufu Vera Sidika amewaacha mashabiki wake wakiwa na mshangao baada ya kufichua kuwa yeye husafiri peke yake na hupiga picha zake zote mwenyewe akitumia remote ndogo na standi ya simu. Kupitia Instastory zake, Vera ameonyesha kifaa kidogo cha remote anachotumia kupiga picha, akieleza kuwa kama msafiri wa pekee yake, hupendelea njia hiyo badala ya […]

Read More
 Vera Sidika Amchana Eddie Butita Kuhusu Kauli za Boo Party

Vera Sidika Amchana Eddie Butita Kuhusu Kauli za Boo Party

Socialite wa Kenya Vera Sidika ameonekana kuchukizwa na matamshi ya mchekeshaji Eddie Butita aliyewakosoa wanaume waliohudhuria hafla yake ya hivi karibuni maarufu kama Boo Party. Kupitia video aliyoipakia mitandaoni, Vera amemshutumu Butita kwa kuwa na machungu kwa sababu hakupata mualiko wa kushiriki sherehe hiyo. Amesema hakuna mwanaume timamu ambaye angekataa mwaliko wa hafla kama hiyo, […]

Read More
 Kauli ya Vera Sidika Yazima Uvumi wa Kurudiana na Brown Mauzo

Kauli ya Vera Sidika Yazima Uvumi wa Kurudiana na Brown Mauzo

Socialite maarufu wa Kenya, Vera Sidika, amezima madai yanayoenezwa mitandaoni kuwa anapanga kurudiana na mzazi mwenzake, mwanamuziki Brown Mauzo licha ya kuendelea kushirikiana naye katika malezi ya watoto wao. Kupitia ujumbe aliouweka kwenye Instagram, Vera amekanusha vikali uvumi huo na kueleza kuwa maamuzi yake yamelenga tu kuhakikisha watoto wao wanapata malezi bora. Amesisitiza kwamba hatua […]

Read More
 Vera Sidika Ajibu Madai ya Kuwatelekeza Watoto Wake

Vera Sidika Ajibu Madai ya Kuwatelekeza Watoto Wake

Socialite maarufu nchini Kenya, Vera Sidika, amejibu tetesi kutoka kwa mashabiki waliodai kwamba amewatelekeza watoto wake kwa sababu ya kuwa safarini mara kwa mara. Kupitia ujumbe alioweka mtandaoni, Vera amesisitiza kuwa watoto wake daima wako chini ya uangalizi wa mzazi kila wakati. Amefafanua kuwa anapohitajika kuwa kwenye shughuli zake binafsi au kuendesha mikusanyiko katika nyumba […]

Read More
 Vera Sidika Ashtua Wafuasi kwa Kauli Kali Dhidi ya Mammito

Vera Sidika Ashtua Wafuasi kwa Kauli Kali Dhidi ya Mammito

Sosholaiti maarufu wa Kenya, Vera Sidika, ameibua gumzo mitandaoni baada ya kumtolea uvivu mchekeshaji Mammito Eunice kufuatia kauli yake kuhusu upasuaji wa kuongeza makalio (BBL). Mammito alikuwa ametupa dongo akidai wanawake wengi kutoka jamii ya Luhya wanapendelea sana urembo wa upasuaji, jambo ambalo halikumpendeza Vera. Kupitia Instastory yake, Vera alimjibu kwa kejeli, akimshambulia binafsi na […]

Read More