Entertainment

Big Sean apata mtoto wa kiume

Big Sean apata mtoto wa kiume

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Big Sean pamoja na mpenzi wake Jhene Aiko wamebarikiwa kupata mtoto wao wa kwanza wa kiume.

Big Sean amethibitisha taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kusema kuwa mtoto huyo anaitwa “Noah”.

“After 24 hours of Labor, A Lunar Eclipse, with rain from the beginning of labor til he was born, he’s here safe and sound. Happy, Healthy and everything we could ever ask for and more. Any and everything for you Son. Noah 11/8/22,” Aliandika.

Jhene na Big Sean wamekuwa pamoja kwa muda mrefu na mtoto huyo atakuwa kifungua mimba kwa ‘couple’ hiyo pendwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *