Big Sean apata mtoto wa kiume

Big Sean apata mtoto wa kiume

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Big Sean pamoja na mpenzi wake Jhene Aiko wamebarikiwa kupata mtoto wao wa kwanza wa kiume. Big Sean amethibitisha taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kusema kuwa mtoto huyo anaitwa “Noah”. “After 24 hours of Labor, A Lunar Eclipse, with rain from the beginning of labor til he was […]

Read More
 BIG SEAN AMJIBU KANYE WEST,ADAI ALICHOKISEMA KWENYE MAHOJIANO NA DRINKS CHAMPS NI UJINGA

BIG SEAN AMJIBU KANYE WEST,ADAI ALICHOKISEMA KWENYE MAHOJIANO NA DRINKS CHAMPS NI UJINGA

Rapa kutoka nchini marekani Big Sean amesema anampenda sana Kanye West na anampa heshima zote kwa upendo aliomuonesha kumshika mkono hadi kufahamika, lakini kwa alichokisema kwenye mahojiano na Drink Champs mwezi Novemba mwaka huu ni ujinga mtupu. Big Sean amekuwa mgeni mpya wa Drink Champs, kipindi ambacho kitaruka Jumamosi hii, Sean amesikika akisema “Nampenda Kanye. […]

Read More