
Mwanamuziki wa nyimbo za injili nchini Guardian Angel ameachia rasmi album yake mpya inayokwenda kwa jina la Arise and Shine.
Victory imebeba jumla ya mikwaju 10 ya moto huku ikiwa na kolabo 3 pekee kutoka kwa wasanii kama Miracle, DJ Kezz na Kamuhunjia.
Album hiyo ambayo ndio kazi ya mwisho ya Guardian Angel kwa mwaka 2022, inapatikana ‘Exclusive’ kupitia mitandao yote ya kukisikiliza na kuuza muziki duniani kama vile Boomplay,Spotify na Apple Music
Album ya ” A rise and Shine ” ni album ya tatu kwa mtu mzima Guardian Angel tangu aanze safari yake ya muziki baada ya Victory na Thanks for Coming zilizotoka mwaka 2021.