Guardian Angel Aanzisha Kampeni Dhidi ya Unyanyasaji wa Mtandaoni
Msanii wa muziki wa injili nchini Kenya, Guardian Angel, ameanzisha kampeni maalum ya kuhamasisha mashabiki na jamii kwa ujumla kuhusu athari za unyanyasaji wa mtandaoni (cyber bullying), Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mitandao ya kijamii, Guardian Angel ametoa wito wa kusitisha kabisa vitendo vya unyanyasaji wa mtandaoni, akieleza kuwa tatizo hilo linaelekea kuwa miongoni mwa changamoto […]
Read More