Entertainment

ALBUM YA KHALIGRAPH JONES YAFIKISHA STREAMS ZAIDI YA MILIONI 2 BOOMPLAY

ALBUM YA KHALIGRAPH JONES YAFIKISHA STREAMS ZAIDI YA MILIONI 2 BOOMPLAY

Rapa Khaligraph Jones anazidi kufanya vizuri kupitia mauzo ya mtandaoni na Album yake ” Invisible Currency ” ambayo tayari ina takriban wiki tatu tangu itoke rasmi.

Goods ni kwamba Album ya “Invisible Currency” imefanikiwa kufikisha jumla ya Streams millioni 2 kwenye mtandao wa kusikiliza na kupakua muziki wa Boomplay Kenya.

Album ya “Invisible Currency” iliachiwa rasmi Machi 7 mwaka 2020 ikiwa na jumla ya ngoma 17 ya moto na ni album ya pili kwa mtu mzima  Khaligraph Jones  tangu aanze safari yake ya muziki baada ya Testimony 1990 iliyotoka mwaka 2018.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *