Khaligraph Jones Aidharau Orodha ya Shabiki Aliyewataja Wasanii Wanaoweza Kumpa Ushindani

Khaligraph Jones Aidharau Orodha ya Shabiki Aliyewataja Wasanii Wanaoweza Kumpa Ushindani

Staa wa muziki wa hip hop nchini Kenya, Khaligraph Jones, ameonekana kuidharau orodha iliyotolewa na shabiki mmoja mtandaoni iliyowataja marapa wanaodaiwa wanaweza kumzidi uwezo wa kurap. Kwenye orodha hiyo, shabiki huyo alitaja majina kadhaa mazito kwenye game ya hip hop nchini humo, akiwemo Octopizzo, Elisha Elai, Timmy Blanco, Twenny Eights, Femi One, Abbas Kubaff pamoja […]

Read More
 Khaligraph Jones Atikisa Mitandao kwa Kionjo cha Ngoma Mpya

Khaligraph Jones Atikisa Mitandao kwa Kionjo cha Ngoma Mpya

Rapa mkali kutoka Kenya, Khaligraph Jones, ametikisa mitandao ya kijamii baada ya kuachia kionjo (teaser) cha ngoma yake mpya inayotarajiwa hivi karibuni. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, rapa huyo amewashangaza mashabiki kwa kuposti video fupi akionekana anachana kwenye beat kali, akionyesha umahiri wake katika uandishi na utoaji wa mistari mizito. Khaligraph amesindikiza video hiyo na […]

Read More
 Khaligraph Jones Atangaza Book of Jones Kuwa Albamu Bora Zaidi Kuwahi Kutoka Afrika Mashariki

Khaligraph Jones Atangaza Book of Jones Kuwa Albamu Bora Zaidi Kuwahi Kutoka Afrika Mashariki

Rapa mkali kutoka Kenya Khaligraph Jones ametangaza rasmi kuwa albamu yake Book of Jones ndiyo albamu bora zaidi katika historia ya muziki wa Kenya na Afrika Mashariki, akisisitiza kuwa hakuna mradi wowote kutoka ukanda huo uliowahi kufikia kiwango chake. Kupitia Instastory yake, Khaligraph amesema Book of Jones imeweka viwango vipya katika ubunifu, ubora wa sauti […]

Read More
 Rapa Khaligraph Jones Ajitosa Rasmi Kwenye Boxing

Rapa Khaligraph Jones Ajitosa Rasmi Kwenye Boxing

Rapa kutoka Kenya, Khaligraph Jones, ametangaza rasmi kuingia kwenye mchezo wa masumbwi, hatua inayoongeza sura mpya katika mjadala wa wasanii wanaojitosa kwenye michezo ya ushindani. Kupitia Instastory yake, Khaligraph ameeleza kuwa anatafuta kocha wa ngumi atakayemsaidia kujiandaa kwa mapambano maalum dhidi ya wasanii wengine mwaka 2026. Ingawa hakutaja majina ya wapinzani anaowalenga, ujumbe wake umeibua […]

Read More
 Khaligraph Jones Afunguka Sababu za Kwenda Gym Kila Siku

Khaligraph Jones Afunguka Sababu za Kwenda Gym Kila Siku

Rapa Khaligraph Jones amefunguka sababu inayomsukuma kuendelea na utaratibu wa kufanya mazoezi ya gym kila siku. Kupitia Instastory yake, Khaligraph amesema kuwa hofu ya kukosolewa mitandaoni endapo angeonekana kunenepa kupita kiasi ndiyo sababu kuu ya nidhamu yake ya mazoezi. Khaligraph anaamini kuwa mashabiki na wakosoaji mitandaoni mara nyingi hawana huruma na huwa wakali wanapotoa maoni […]

Read More
 Video ya Khaligraph na Toxic Lyrikali Yazidisha Uvumi wa Kolabo, 

Video ya Khaligraph na Toxic Lyrikali Yazidisha Uvumi wa Kolabo, 

Rapa kutoka Kenya, Khaligraph Jones, amewaacha mashabiki na maswali baada ya kuonekana akizungumza na msanii Toxic Lyrikali wakati wa mazoezi ya Sol Fest. Tukio hilo lilinaswa kwenye video na kusambaa haraka mitandaoni, likichochea uvumi kuwa huenda wawili hao wanapanga kufanya kazi pamoja. Kwenye klipu hiyo, wasanii hao wanaonekana wakisalimiana nyuma ya jukwaa, jambo lililowafanya mashabiki […]

Read More
 Khaligraph Jones Atangaza Ujio wa Duka Kubwa la Mavazi 2026

Khaligraph Jones Atangaza Ujio wa Duka Kubwa la Mavazi 2026

Rapa kutoka nchini Kenya, Khaligraph Jones, ametangaza kuingia rasmi katika ulimwengu wa fasheni kwa mpango mpya unaotarajiwa kuvutia mashabiki na wadau wa mitindo. Kupitia instastory yake, Rapa huyo amesema kuwa atazindua duka lake la mavazi na bidhaa za ubunifu mwaka 2026, hatua inayotafsiriwa kama mwanzo wa sura mpya katika safari yake ya kisanii na kibiashara. […]

Read More
 Khaligraph Jones Azindua Rasmi Rap Battle ya Wimbo Wake Mpya “Weyuat”

Khaligraph Jones Azindua Rasmi Rap Battle ya Wimbo Wake Mpya “Weyuat”

Msanii nguli wa muziki wa rap nchini Kenya, Khaligraph Jones, ameanzisha rasmi rap battle ya wimbo wake mpya “Weyuat” baada ya kupata shinikizo kutoka kwa mashabiki wake mitandaoni. Khaligraph amesema awali hakupanga kufanya challenge hiyo, lakini mashabiki wake waliamua kuigeuza kuwa challenge rasmi. Amesema atapakia instrumental ya wimbo huo ili rappers wote wanaohisi wana uwezo […]

Read More
 Khaligraph Jones Adokeza Kolabo Mpya na Msanii Chipukizi Toxic Lyrikali

Khaligraph Jones Adokeza Kolabo Mpya na Msanii Chipukizi Toxic Lyrikali

Mfalme wa rap nchini Kenya, Khaligraph Jones, amedokeza uwezekano wa kufanya kolabo na msanii anayechipukia kwa kasi, Toxic Lyrikali, huku akimsifia kwa kuendelea kushikilia mizizi ya rap nchini humo. Kupitia mazungumzo yaliyowekwa wazi na mdau wa muziki Thithad3, Khaligraph ameonyesha kuvutiwa na kazi ya Toxic, akisema kuwa kwa sasa ndiye anayeshikilia uhalisia wa rap nchini […]

Read More
 Khaligraph Jones Atoa Heshima kwa Hayati Raila Odinga kwa Kuweka Picha zake Ukutani

Khaligraph Jones Atoa Heshima kwa Hayati Raila Odinga kwa Kuweka Picha zake Ukutani

Rapper Khaligraph Jones ameonyesha heshima yake kwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani, hayati Raila Amolo Odinga, kwa kufichua michoro kadhaa (murals) ya kiongozi huyo zilizowekwa ndani ya jumba lake. Katika video iliyosambaa mitandaoni, Khaligraph anaonekana akitembea ndani ya nyumba yake ya kifahari, akionyesha kuta zilizopambwa kwa picha kubwa za Raila Odinga katika mitindo tofauti ya […]

Read More