Entertainment

ARROW BOY AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA “FOCUS”

ARROW BOY AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA “FOCUS”

Staa wa muziki nchini Arrow Boy ameachia rasmi album yake mpya iitwayo ” Focus ” ambayo ina jumla ya ngoma 14 za moto.

Album hiyo ambayo kwa sasa inapatikana kupitia majukwaa yote ya ku-stream muziki duniani, ina kolaba 7 kutoka kwa wakali kama Spice Diana, Otile Brown, B Classic, Nadia Mukami,Sanaipei Tande, Nandy na Dufla Diligion.

Focus album ina nyimbo kama Show Me, Mood, Enjoy, Raha,Uko Nami,Usinimwage,Fall, Njiwa na nyingine kibao.

Focus album ni album ya pili kwa mtu mzima Arrow Boy baada ya Hatua iliyotoka mwaka wa 2019.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *