Nadia Mukami afunguka kutengana na Arrow Boy

Nadia Mukami afunguka kutengana na Arrow Boy

Staa wa muziki nchini Nadia Mukami amefunguka kuhusu madai ya kutengana na baba ya mtoto wake Arrow Bwoy. Katika mahojiano na Mungai Eve, Nadia amesema kuwa alitengana na Arrow Bwoy baada ya kulemewa na mambo mengi ambayo yalitokea katika maisha yake katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita. “Imekuwa moja ya miaka mbaya zaidi kwangu. Mungu […]

Read More
 Nadia Mukami athibitisha kuachana na Arrow Boy

Nadia Mukami athibitisha kuachana na Arrow Boy

Staaa wa muziki nchini Nadia Mukami amethibitisha kutengana na mwanamuziki mwenzake Arrow Bwoy. Katika taarifa ambayo aliichapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram, Nadia alibainisha kuwa yeye na mzazi huyo mwenzake hawajakuwa pamoja kwa muda mrefu sasa. aidha alikiri kuwa ameshindwa kabisa kuendelea kudanganya kuhusu uhusiano wao kwa watu wengi ambao hawakuwa na ufahamu kuhusu kutengana […]

Read More
 Nadia Mukami afunguka juu ya mpango wa kupata mtoto wa pili

Nadia Mukami afunguka juu ya mpango wa kupata mtoto wa pili

Mwanamuziki kutoka nchini Kenya Nadia Mukami amefichua kuwa hana mpango wa kupata mtoto mwingine hivi karibuni. Kupitia ukurasa wake wa Instagram akimjibu shabiki aliyetaka kujua ni lini atampata mtoto wake wa pili, Nadia amesema kwa sasa hajajiandaa kisaikolojia kupata uja uzito mwingine huku akisisitiza kuwa atafanya hivyo labda miaka mitano ijayo. “Labda baada ya miaka […]

Read More
 NADIA MUKAMI ADOKEZA UJIO WA EP YA PAMOJA NA ARROW BWOY

NADIA MUKAMI ADOKEZA UJIO WA EP YA PAMOJA NA ARROW BWOY

Mwanamuziki Nadia Mukami amedokeza kuja na EP ya pamoja na mchumba wake Arrow Boy kwa sababu wamekuwa na muendelezo mzuri wakuachia nyimbo kali.   Kwenye mahojiano hivi karibuni Nadia amesema wana nyimbo nyingi ambazo hazijatoka ambapo amewataka mashabiki wakae mkao wa kula kupokea EP yao ya pamoja ambayo ameitaja kuwa moto wa kuotea mbali.   […]

Read More
 ARROW BOY AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA “FOCUS”

ARROW BOY AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA “FOCUS”

Staa wa muziki nchini Arrow Boy ameachia rasmi album yake mpya iitwayo ” Focus ” ambayo ina jumla ya ngoma 14 za moto. Album hiyo ambayo kwa sasa inapatikana kupitia majukwaa yote ya ku-stream muziki duniani, ina kolaba 7 kutoka kwa wakali kama Spice Diana, Otile Brown, B Classic, Nadia Mukami,Sanaipei Tande, Nandy na Dufla Diligion. Focus album ina nyimbo […]

Read More
 NADIA MUKAMI AVISHWA PETE YA UCHUMBA NA ARROW BOY

NADIA MUKAMI AVISHWA PETE YA UCHUMBA NA ARROW BOY

Msanii nyota nchini Arrow Boy amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake Nadia Mukami ambaye pia ni mwanamuziki. Kwenye performance yao  katika hafla ya uzinduzi wa Focus album Usiku wa kuamkia Machi 13 jijini Nairobi, Arrow Boy alipiga goti na kumvisha Pete Nadia Mukami ambapo alienda mbali zaidi na kuahidi yupo tayari kufunga nae ndoa,  jambo […]

Read More