Msanii Lydia Jazmine Asema Hataki Mahusiano Kwa Muda

Msanii Lydia Jazmine Asema Hataki Mahusiano Kwa Muda

Msanii wa muziki kutoka Uganda Lydia Jazmine amesema kwa sasa hataki kabisa kusikia suala la mapenzi baada ya kupitia kipindi kigumu cha maisha yake kwenye mahusiano yake ya awali. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni, Jazmine amesema kuwa hataishi mwaka mzima bila kuwa na mpenzi hadi pale atakapompata mwanaume wa ndoto yake. Amesema kuwa hajakata tamaa […]

Read More
 Ommy Dimpoz Akataa Kuomba Msamaha kwa Kauli Tata ya Kuwataka Vijana Kufanya Kazi

Ommy Dimpoz Akataa Kuomba Msamaha kwa Kauli Tata ya Kuwataka Vijana Kufanya Kazi

Msanii wa Bongofleva, Ommy Dimpoz, amekataa kabisa shinikizo za kuomba msamaha kufuata kauli yake iliyowataka vijana wa Tanzania kuacha kulalamika na kujikita katika kufanya kazi. Akizungumza kupitia mitandao ya kijamii, Ommy amesema hana sababu ya kuomba msamaha kwa kauli hiyo, akieleza kuwa alichokifanya ni kusema ukweli unaopaswa kusikika. Kwa mujibu wa Ommy, kauli yake ililenga […]

Read More
 Wapendwa Muziki Watangaza Kuzaliwa kwa Mtoto Wao wa Kiume

Wapendwa Muziki Watangaza Kuzaliwa kwa Mtoto Wao wa Kiume

Wasanii wanaounda kundi la Wapenda Muziki, Nina na Mesh, wametangaza kwa furaha kuzaliwa kwa mtoto wao wa kwanza wa kiume. Kupitia mitandao ya kijamii, wawili hao walishiriki taarifa hiyo njema wakieleza kushukuru Mungu kwa zawadi ya mtoto, hatua iliyopokelewa kwa shangwe na mashabiki wao mitandaoni. Nina na Mesh wamekuwa wakifuatiliwa kwa karibu kutokana na muziki […]

Read More
 Mwijaku Asikitishwa na Wasanii Kumkataa Mkubwa Fella Akiwa Mgonjwa

Mwijaku Asikitishwa na Wasanii Kumkataa Mkubwa Fella Akiwa Mgonjwa

Mtangazaji na mdau wa burudani, Mwijaku, ameonyesha kusikitishwa na kitendo cha baadhi ya wasanii kumkataa kumsaidia meneja wa wasanii wa Bongofleva, Mkubwa Fela, wakati huu anapitia kipindi kigumu cha kuumwa. Akizungumza kwa uchungu, Mwijaku amesema ameumia kumuona mtu aliyejitolea kwa muda mrefu kuwasaidia wasanii, anatengwa wakati huu anapitia matatizo ya kiafya. Ameongeza kuwa ameshangazwa na […]

Read More
 Rapa Toxic Lyrikali Amuaibisha Tipsy Gee kwa Kuanika Video ya Kuomba Msamaha

Rapa Toxic Lyrikali Amuaibisha Tipsy Gee kwa Kuanika Video ya Kuomba Msamaha

Rapa Toxic Lyrikali ameibua mjadala mkubwa mitandaoni baada ya kuanika video inayomuonyesha msanii wa gengetone Tipsy Gee akimuomba msamaha, kufuatia mzozo wa muda mrefu uliokuwa ukiendelea kati yao. Katika video hiyo inayosambaa kwa kasi, Tipsy Gee anaonekana akiwa mpole na mnyenyekevu, akizungumza kwa sauti ya chini na kumuomba radhi Toxic Lyrikali, hali ambayo imewafanya baadhi […]

Read More
 Diamond Adaiwa Kumtelekeza Mkubwa Fella akiwa Mgonjwa

Diamond Adaiwa Kumtelekeza Mkubwa Fella akiwa Mgonjwa

Mke wa Mkubwa Fella, ameibuka na madai mazito dhidi ya Diamond Platnumz akisema kuwa kwa sasa staa huyo wa muziki amewazimia kabisa simu liicha ya kujaribu kuwasiliana naye mara kadhaa bila mafanikio. Akizungumza kwa masikitiko, mke huyo amesema kuwa Diamond hajibu simu wala meseji wanazomtumia, hata katika kipindi hiki ambacho mume wake, Mkubwa Fella, anaumwa. […]

Read More
 WhatsApp Yaanza Majaribio ya Akaunti Maalum kwa Watoto

WhatsApp Yaanza Majaribio ya Akaunti Maalum kwa Watoto

WhatsApp imeanza majaribio ya mfumo mpya unaolenga kuongeza usalama wa watoto wanaotumia jukwaa hilo, kwa kuruhusu wazazi kufungua akaunti maalum kwa ajili ya watoto wao. Kwa mujibu wa taarifa ya WhatsApp, mfumo huo utatumia mpangilio wa “Secondary Account” ambayo itakuwa ni akaunti ya mtoto. Akaunti hiyo itatumia namba tofauti ya simu lakini itaunganishwa moja kwa […]

Read More