Vera Sidika Akanusha Madai ya Kufulia Kiuchumi

Vera Sidika Akanusha Madai ya Kufulia Kiuchumi

Socialite kutoka Kenya, Vera Sidika, amekanusha madai yanayotembea mitandaoni kuwa amefulia kiuchumi kiasi cha kushindwa kulipa kodi ya mansion aliyokuwa akiishi mwaka jana. Kupitia Insta Story yake, Vera Sidika amepuuza kabisa madai hayo akisema ni uzushi mtupu. Mrembo huyo, amesema kwa zaidi ya miaka 13 sasa, kuna baadhi ya watu wamekuwa wakimuombea afeli kimaisha, jambo […]

Read More

How Gambling Blocking Apps Work with Rocketplay Self-Exclusion

Gambling blocking apps and Rocketplay self-exclusion can work together to create a stronger barrier between you and online gambling. Self-exclusion limits access through your account, while a blocking app can restrict gambling websites across your devices. If you are comparing account tools before making a decision, https://rocketplaycasino.org/ may help you find general site information. The […]

Read More
 Diana B Awaacha Mashabiki Midomo Wazi kwa Matumizi ya Nyumbani ya Zaidi ya KES 119,000

Diana B Awaacha Mashabiki Midomo Wazi kwa Matumizi ya Nyumbani ya Zaidi ya KES 119,000

Malkia wa mitandao ya kijamii, Diana B, ameonyesha kwa vitendo namna anavyotumia kwa busara pesa anazozikeshea na kuzitolea jasho kupitia kazi zake mbalimbali. Mkali huyo wa “Bibi ya Tajiri” amewaacha mashabiki wengi vinywa wazi baada ya kufichua kiasi kikubwa cha fedha alichotumia kwa ununuzi wa bidhaa za matumizi ya nyumbani kwa mwezi wa Januari. Kupitia […]

Read More
 Mwijaku Amlaumu Diamond kwa Kuvunja Ndoa Yake

Mwijaku Amlaumu Diamond kwa Kuvunja Ndoa Yake

Mtangazaji na mdau wa burudani, Mwijaku, amemlaumu staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz kwa kudai kuwa ndiye chanzo cha kuvunjika kwa ndoa yake. Akizungumza kupitia mitandao ya kijamii, Mwijaku amesema kuwa tangu aanze kuwa karibu na Diamond, maisha yake ya ndoa yalianza kuyumba na hatimaye kusambaratika. Amedai kuwa ukaribu wake na Diamond ulimuingiza kwenye mtindo […]

Read More
 Juma Lokole Atoboa Siri Nzito Kuhusu Wemasepetu,

Juma Lokole Atoboa Siri Nzito Kuhusu Wemasepetu,

Mdau wa masuala ya burudani, Juma Lokole, amezua mjadala mpana mitandaoni baada ya kudai kuwa Wema Sepetu aliwahi kuwa katika mahusiano ya kimapenzi na mfanyabiashara tajiri anayefahamika kwa jina la MO. Akizungumza kupitia Instagram yake, Juma Lokole amesema licha ya madai hayo, Wema aliweza kuficha siri za mahusiano yake na hakuwahi kuanika mambo ya ndani […]

Read More
 Shilole Ashukuru Upendo wa Mashabiki Licha ya Polisi Kutilia Shaka Taarifa za Ajali Yake

Shilole Ashukuru Upendo wa Mashabiki Licha ya Polisi Kutilia Shaka Taarifa za Ajali Yake

Msanii wa Bongo Flava na mjasiriamali, Shilole, ameendelea kupokea upendo mkubwa kutoka kwa mashabiki na Watanzania kwa ujumla, baada ya kudai kunusurika katika ajali ya gari iliyotokea usiku wa kuamkia Januari 3 katika eneo la Malagarasi, mkoani Kigoma. Kupitia mitandao yake ya kijamii, Shilole ametoa shukrani kwa watu wote waliomtumia jumbe za pole na za […]

Read More
 Huddah Aumizwa na Kitendo cha Shabiki Kumlinganisha na Vera Sidika

Huddah Aumizwa na Kitendo cha Shabiki Kumlinganisha na Vera Sidika

Socialite kutoka Kenya Huddah Monroe ameweka wazi kuwa hatavumilia tena kashfa au kejeli mwaka 2026, baada ya shabiki mmoja mitandaoni kudai kuwa mpinzani wake Vera Sidika alimzidi kimafanikio mwaka 2025. Akimjibu shabiki kwa hasira, Huddah ameeleza kuwa kitendo cha kulinganishwa na mafanikio ya watu wengine kimekuwa kikimuumiza kihisia, akisema watu wengi hawajui juhudi, changamoto na […]

Read More
 Harmonize Kuja na Album Yenye Hits Kali Baada ya Mafanikio ya Leo

Harmonize Kuja na Album Yenye Hits Kali Baada ya Mafanikio ya Leo

Msanii nyota wa Bongo Fleva, Harmonize, ameonesha furaha kubwa kufuatia mafanikio makubwa ya wimbo wake mpya “Leo” unaoongoza chati za majukwaa ya kidijitali nchini Tanzania na Kenya. Kupitia mitandao ya kijamii, Harmonize amesema mafanikio hayo yametokana na kazi kubwa aliyowekeza pamoja na sapoti ya dhati kutoka kwa mashabiki wake. Amebainisha kuwa si jambo rahisi kutengeneza […]

Read More