Polisi Kigoma Wakanusha Taarifa za Msanii Shilole Kupata Ajali

Polisi Kigoma Wakanusha Taarifa za Msanii Shilole Kupata Ajali

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limekanusha rasmi taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, hasa TikTok, zikidai kuwa msanii wa muziki Shilole alipata ajali ya gari na kujeruhiwa akiwa safarini kutoka Mkoa wa Kigoma kuelekea Mkoa wa Dodoma. Katika taarifa kwa umma, Polisi wamesema kuwa hakuna taarifa yoyote ya ajali hiyo iliyowasilishwa katika kituo chochote […]

Read More

Kingmaker Casino : l’aide d’un manager personnel pour vos questions de paiement

Pour gérer un dépôt, un retrait ou une vérification, Kingmaker Casino propose plusieurs niveaux d’assistance, avec un chat annoncé 24 h/24 et 7 j/7. L’interface française et les informations disponibles sur https://kingmakercasinoenligne.com/ permettent de commencer vos vérifications, mais l’éligibilité dépend du pays sélectionné et du compte. Voici comment fonctionne l’accompagnement, ce que le programme VIP […]

Read More
 Msanii Shilole Anusurika Ajali Mbaya ya Gari Akiwa Njiani Kutoka Kigoma

Msanii Shilole Anusurika Ajali Mbaya ya Gari Akiwa Njiani Kutoka Kigoma

Msanii na mjasiriamali kutoka Tanzania, Shilole, amenusurika katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea usiku wa kuamkia jana katika eneo la Malagarasi, mkoani Kigoma, alipokuwa safarini akirejea Dodoma akitokea Kigoma. Kwa mujibu wa taarifa zilizothibitishwa na Mbunge wa Kigoma Mjini, Cleyton Chipando maarufu Baba Levo, Shilole alikuwa akitumia gari aina ya Toyota Alphard lililogonga ng’ombe barabarani, […]

Read More
 Mume wa Zari Hassan Ahusishwa na Wizi na Shambulio Kampala

Mume wa Zari Hassan Ahusishwa na Wizi na Shambulio Kampala

Mume wa mfanyabiashara na staa wa mitandao ya kijamii Zari Hassan, Shakib Chams, anadaiwa kuhusishwa na tukio la wizi na shambulio lililotokea katika baa moja jijini Kampala, Uganda. Kwa mujibu wa msemaji wa Polisi wa Kabalagala, Shakib aliongoza kundi la wahuni waliowavamia wateja wa baa hiyo, ambapo inadaiwa waliwajeruhi vibaya na kuwaibia simu za mkononi […]

Read More
 Rayvanny Azima Vugu Vugu Linalodai Kususia Muziki wa Bongo Fleva kwa Show kali Kigoma

Rayvanny Azima Vugu Vugu Linalodai Kususia Muziki wa Bongo Fleva kwa Show kali Kigoma

Msanii wa Bongo Fleva Rayvanny amepiga show kali mjini Kigoma, kitendo kilichoonekana kuvunja kabisa wimbi la baadhi ya Watanzania waliodai kususia nyimbo na burudani za wasanii wa Bongo Fleva wanaodaiwa kujihusisha na masuala ya kisiasa. Kupitia mitandao ya kijamii, Rayvanny amewashukuru watu wa Kigoma hasa vijana wa Gen Z kwa upendo mkubwa waliomuonesha, akisema sapoti […]

Read More
 Chief Godlove: Wivu imekwamisha Vijana wa Tanzania Kuwa Matajiri

Chief Godlove: Wivu imekwamisha Vijana wa Tanzania Kuwa Matajiri

Mwanamitandao kutoka Tanzania, Chief Godlove, amesema kuwa wivu, ujuaji mwingi, ubishi na kutotamani kuona wengine wakifanikiwa ni miongoni mwa sababu kuu zinazowakwaza vijana wengi wa Tanzania kushindwa kujijenga kiuchumi na kufikia ndoto za kuwa matajiri. Kupitia mitandao yake ya kijamii, Chief Godlove amehoji kwa nini vijana wa Tanzania wenye umri wa miaka 35 kushuka chini […]

Read More