Mastaa wa Kenya Washindwa Kukubaliana Ratiba ya Ziara ya IShowSpeed

Mastaa wa Kenya Washindwa Kukubaliana Ratiba ya Ziara ya IShowSpeed

Mastaa na wadau wa burudani nchini Kenya wamejikuta wakishindwa kufikia mwafaka kuhusu ratiba ya mapokezi na matembezi ya streamer na YouTuber maarufu duniani, IShowSpeed, ambaye yupo kwenye ziara kubwa barani Afrika. Kwa mujibu wa taarifa zinazosambaa mtandaoni, wapo wanaodai ziara ya Youtuber huyo ni fursa adhimu ya kuonyesha upande mzuri wa Kenya, ikiwemo utalii, utamaduni, […]

Read More

Cbet propose-t-il des Free Spins aux comptes existants sans nouveau dépôt ?

Les joueurs déjà inscrits cherchent souvent à savoir si Cbet réserve des Free Spins aux comptes existants, sans exiger un nouveau dépôt. La réponse doit rester prudente : des pages françaises mentionnent des récompenses hebdomadaires, mais aucune règle actuelle et contractuelle ne confirme une offre automatique. Pour comparer les conditions annoncées, un cbet avis peut […]

Read More
 Nigeria na Misri Zatinga Robo Fainali AFCON 2025

Nigeria na Misri Zatinga Robo Fainali AFCON 2025

Timu ya Taifa ya Nigeria, maarufu kama Super Eagles, imefanikiwa kutinga robo fainali ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2025) baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Msumbiji katika hatua ya 16 bora. Kwa matokeo hayo, Nigeria sasa inasubiri mshindi wa mchezo mwingine wa hatua ya 16 bora kati ya Algeria na […]

Read More
 Manchester United Yamfuta Kazi Ruben Amorim

Manchester United Yamfuta Kazi Ruben Amorim

Klabu ya Manchester United imetangaza rasmi kumfuta kazi Meneja Ruben Amorim kufuatia msururu wa matokeo yasiyoridhisha, ikiwa ni miezi 14 tu tangu achukue mikoba ya kuinoa timu hiyo. Katika taarifa iliyotolewa na Manchester United, imeelezwa kuwa kiungo wa zamani wa klabu hiyo, Darren Fletcher, ambaye alikuwa akihudumu kama Mkurugenzi wa Ufundi, ameteuliwa kushika nafasi ya […]

Read More
 Alikiba Amtambulisha Meneja Mpya Kings Music

Alikiba Amtambulisha Meneja Mpya Kings Music

Staa wa muziki wa Bongo Flava na mmiliki wa lebo ya Kings Music Records, Alikiba, ametambulisha rasmi meneja wake mpya, Benjamin Otwal, katika hafla iliyofanyika jana nchini Kenya. Kupitia utambulisho huo, Alikiba amemkaribisha Benjamin Otwal kama sehemu ya uongozi mpya unaolenga kuimarisha shughuli za muziki na biashara za Kings Music ndani na nje ya Afrika […]

Read More
 Mama Dangote Adai Naseeb Junior Ndio Mrithi wa WCB Wasafi

Mama Dangote Adai Naseeb Junior Ndio Mrithi wa WCB Wasafi

Mama wa nyota wa Bongo Fleva Diamond Platnumz, maarufu kama Mama Dangote, ameibua mjadala mkubwa mitandaoni baada ya kushiriki video ya mjukuu wake Naseeb Junior akiwa na baba yake katika ofisi za WCB Wasafi. Katika video hiyo aliyoiposti Instagram, Mama Dangote ameandika maneno yanayoashiria kuwa huenda Naseeb akawa mrithi wa lebo ya WCB Wasafi, himaya […]

Read More
 Khaligraph Azidisha Bifu na Rapcha Kupitia Diss Track

Khaligraph Azidisha Bifu na Rapcha Kupitia Diss Track

Rapa Khaligraph Jones, ameonekana kuongeza moto kwenye bifu yake na podcaster na mchekeshaji Rapcha The Sayanist baada ya kuachia kipande cha diss track kupitia mitandao ya kijamii. Katika kipande hicho cha distrack, Khaligraph anasikika akimrushia maneno mazito Rapcha, akidai vichekesho vyake ni vya kulazimisha na havina ubunifu wa kweli. Aidha, rapper huyo anadai Rapcha hana […]

Read More
 Mwijaku Asema Kajala Hana Maisha Bila Harmonize

Mwijaku Asema Kajala Hana Maisha Bila Harmonize

Mtangazaji na mdau wa burudani mwenye utata, Mwijaku, amedai kuwa Kajala Masanja hana maisha wala mwelekeo wa kibiashara bila uwepo wa msanii wa Bongo Fleva, Harmonize. Kwa mujibu wa Mwijaku, kipindi ambacho Kajala alikuwa nje ya mahusiano na Harmonize, maisha yake yalidorora kwa kiwango kikubwa, akidai kuwa alifilisika kiuchumi na kukosa kabisa dili za kibiashara. […]

Read More
 Vijana Wanaofanana na Mastaa wa Bongofleva Watikisa Mitandao ya Kijamii

Vijana Wanaofanana na Mastaa wa Bongofleva Watikisa Mitandao ya Kijamii

Vijana wanaofanana kwa karibu na mastaa wakubwa wa Bongo Fleva akiwemo Jux, Diamond Platnumz, Rayvanny, Mbosso, Marioo pamoja na Jay Melody wamezua gumzo kubwa mitandaoni, baada ya picha na video zao kusambaa kwa kasi katika majukwaa mbalimbali ya kijamii. Katika video hiyo inayosambaa mtandaoni, vijana hao wanaonekana wakiwa wamevaa na kujipamba kwa mitindo inayofanana kabisa […]

Read More
 Arsenal Yaibuka na Ushindi wa Mabao 3-2 Dhidi ya Bournemouth

Arsenal Yaibuka na Ushindi wa Mabao 3-2 Dhidi ya Bournemouth

Klabu ya Arsenal imeendeleza mwendo wake mzuri katika Ligi Kuu ya England baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Bournemouth katika mchezo uliopigwa ugenini. Arsenal ilianza kwa kasi na kufanikiwa kupata bao la kwanza kupitia Gabriel Magalhães dakika ya 18. Hata hivyo, Bournemouth walijibu mapema kwa kusawazisha kupitia Evanilson dakika ya 10, […]

Read More