Oga Obinna Atokwa na Machozi kwenye Mazishi ya Kimani Mbugua

Oga Obinna Atokwa na Machozi kwenye Mazishi ya Kimani Mbugua

Mtangazaji Oga Obinna amejipata akitokwa na machozi ya uchungu wakati wa mazishi ya mwanahabari Kimani Mbugua, tukio lililofanyika katika eneo la Maragua, Kaunti ya Murang’a. Katika hotuba yake, Obinna ameelezea maumivu makubwa aliyoyahisi kutokana na kumpoteza rafiki katika tasnia ya habari, akisema wanahabari na wasanii wengi wanapitia changamoto kubwa za kimaisha na kisaikolojia ambazo mara […]

Read More
 Apple Yasogeza Uzinduzi wa iPhone 18 Hadi Mwaka 2027

Apple Yasogeza Uzinduzi wa iPhone 18 Hadi Mwaka 2027

Kampuni ya teknolojia ya Apple imetangaza kuwa haitatoa toleo jipya la iPhone 18 mwaka 2026 kama ilivyokuwa ikitarajiwa, bali uzinduzi huo utafanyika mapema mwaka 2027. Kupitia taarifa rasmi, Apple imeeleza kuwa uamuzi huo umechochewa na dhamira ya kutoa muda zaidi kwa timu zake za maendeleo kuboresha teknolojia mpya itakayofanya iPhone 18 kuwa tofauti kabisa na […]

Read More
 Bahati Asema Mashabiki Wanatamani Maisha Yake na Diana Marua

Bahati Asema Mashabiki Wanatamani Maisha Yake na Diana Marua

Mwanamuziki mwenye utata nchini Kenya, Bahati, ameibua mjadala mtandaoni baada ya kudai kuwa mashabiki wake wanatamani maisha anayoyaishi na mke wake, Diana Marua. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Bahati amepakia video akiwa na mkewe Diana wakifurahia mvinyo (wine) huku wakipigana mabusu hadharani licha ya maneno ya watu. Katika video hiyo mpya, Bahati amesema kuwa alikuwa […]

Read More
 Juventus Yamtimua Kocha Igor Tudor Baada ya Msururu wa Vipigo

Juventus Yamtimua Kocha Igor Tudor Baada ya Msururu wa Vipigo

Miamba wa soka nchini Italia, Juventus, wametangaza kumfuta kazi kocha wao Igor Tudor kufuatia msururu wa matokeo duni uliomalizika kwa kichapo cha 3-0 dhidi ya Lazio Jumapili iliyopita. Kocha huyo raia wa Croatia, mwenye umri wa miaka 43, alijiunga na Juventus mwezi Machi kuchukua nafasi ya Thiago Motta, lakini ameshindwa kuipa timu matokeo chanya. Tangu […]

Read More
 WhatsApp Yaanza Majaribio ya Kutaja Wajumbe Wote wa Kundi kwa Pamoja

WhatsApp Yaanza Majaribio ya Kutaja Wajumbe Wote wa Kundi kwa Pamoja

Kampuni ya WhatsApp imeanza kufanya majaribio ya kipengele kipya kinachowawezesha watumiaji kutaja wajumbe wote wa kundi kwa mara moja, badala ya kutumia alama ya @ kwa kila jina mmoja baada ya jingine. Kupitia kipengele hicho, kila mshiriki wa kundi atapokea taarifa (notification) inayoonyesha kuwa ametajwa kwenye ujumbe fulani. Hatua hii inalenga kuongeza ufanisi wa mawasiliano […]

Read More
 Msanii Akothee Afunguka Kuhusu Mipango Yake ya Mazishi

Msanii Akothee Afunguka Kuhusu Mipango Yake ya Mazishi

Mwanamuziki kutoka Kenya, Akothee, ameibua gumzo mitandaoni baada ya kutoa tamko jipya kuhusu mipango yake ya mazishi. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, ameeleza kuwa hataki chakula chochote kipikwe siku ya mazishi yake, akisisitiza kuwa watu wanaohudhuria wanapaswa kubeba chakula chao kutoka nyumbani badala ya kutegemea familia yake. Akothee amehoji ni vipi watu wanaweza […]

Read More
 Juma Jux Ampongeza Diamond kwa Kufungua Milango ya Kimataifa kwa Wasanii wa Bongo

Juma Jux Ampongeza Diamond kwa Kufungua Milango ya Kimataifa kwa Wasanii wa Bongo

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Juma Jux, amempongeza Diamond Platnumz kwa mchango wake mkubwa katika kufungua njia za kimataifa kwa wasanii wa Tanzania. Akizungumza katika mahojiano na El Mando TZ, Jux amesema kuwa Diamond ameonyesha mfano wa kuigwa kupitia matamasha yake makubwa aliyoandaa nchini Uingereza, ikiwemo London, Manchester na Glasgow mwezi Julai, ambayo yalitoa […]

Read More
 Msanii Sanaipei Tande Aonya Dhidi ya Mahusiano ya Kifedha

Msanii Sanaipei Tande Aonya Dhidi ya Mahusiano ya Kifedha

Mwanamuziki na mtangazaji wa Kenya, Sanaipei Tande, ameeleza kuwa mahusiano ya kweli yanapaswa kujengwa juu ya urafiki na ushirikiano badala ya kuzingatia kile mtu analeta mezani. Katika mahojiano yake ya hivi karibuni, Sanaipei ameeleza kuwa watu wengi wa kizazi cha sasa (GenZ) wamepoteza maana halisi ya uhusiano kutokana na kuangalia zaidi masuala ya kifedha na […]

Read More
 Mwanaume wa Kenya Afichua Alimdanganya Mkewe kwa Mwaka Akijifanya Eric Omondi

Mwanaume wa Kenya Afichua Alimdanganya Mkewe kwa Mwaka Akijifanya Eric Omondi

Mwanaume mwenye sura inayofanana na mchekeshaji wa Kenya, Eric Omondi, amekiri kuwa aliishi katika uhusiano wa kimapenzi kwa mwaka mmoja akijifanya kuwa yeye ndiye mchekeshaji huyo halisi. Kwa mujibu wa mahojiano yaliyosambaa mtandaoni, amesema kuwa alikutana na mwanamke huyo mtandaoni na wakaanza mahusiano, huku akitumia umaarufu wa Eric Omondi kumvutia na kumfanya aamini kuwa anachumbiana […]

Read More
 Nandy Afunguka Sababu za Kutumia AI Kwenye Video ya Sweety

Nandy Afunguka Sababu za Kutumia AI Kwenye Video ya Sweety

Msanii nyota wa Bongo Fleva, Nandy, amefunguka sababu kuu ya kutumia teknolojia ya Artificial Intelligence (AI) katika utayarishaji wa video ya wimbo wake uitwao Sweety aliomshirikisha Jux, akisema hatua hiyo ilikuwa ya kulinda ndoa na heshima za kifamilia. Kwenye mahojiano hivi karibuni, Nandy amesema wazo la kutumia AI lilitokana na tahadhari baada ya kutambua kuwa […]

Read More
 Willy Paul Alalamikia Mashabiki Kutompa Heshima Anazostahili

Willy Paul Alalamikia Mashabiki Kutompa Heshima Anazostahili

Staa wa muziki kutoka nchini Kenya, Willy Paul, ameelezea masikitiko yake kuhusu jinsi mashabiki wa muziki wa Kenya wanavyomchukulia poa, akidai kuwa licha ya mafanikio yake makubwa kimataifa, bado hatambuliwi ipasavyo nyumbani. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, msanii huyo amesema kuwa yeye ndiye msanii pekee wa Kenya ambaye nyimbo zake zinachezwa zaidi kimataifa kuliko za […]

Read More