Mchekeshaji Terence Creative Aomba Radhi Jamii ya Kisii kwa Matamshi ya Chuki 

Mchekeshaji Terence Creative Aomba Radhi Jamii ya Kisii kwa Matamshi ya Chuki 

Mchekeshaji kutoka Kenya Terence Creative amelazimika kuomba radhi jamii ya Kisii baada ya kutoa matamshi yaliyotafsiriwa kuwa ya chuki na kikabila kupitia ukurasa wake wa Facebook. Terence alizua mjadala mkali mtandaoni baada ya kuchapisha ujumbe unaodaiwa kumlenga aliyekuwa Waziri wa Usalama wa Ndani Fred Matiang’i, akionekana kufanya utani kuhusu uwezekano wa kiongozi huyo kushinda urais […]

Read More
 Bahati Alalamikia Chuki na Wivu Kutoka kwa Wasanii wa Nyimbo za Injili

Bahati Alalamikia Chuki na Wivu Kutoka kwa Wasanii wa Nyimbo za Injili

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Bahati, ameshindwa kuvumilia ukosoaji anaoupata mtandaoni baada ya kuonekana akilia hadharani akielezea machungu anayopitia kutokana na chuki na wivu kutoka kwa baadhi ya wasanii wenzake, hasa wale wa muziki wa Injili. Kupitia video aliyoshiriki kwenye mitandao ya kijamii, Bahati ameonekana mwenye majonzi akisema kwamba kama Mungu angekuwa binadamu, huenda […]

Read More
 Willy Paul Awakosoa Wasanii Anaodai Kula Pesa za Wamama

Willy Paul Awakosoa Wasanii Anaodai Kula Pesa za Wamama

Msanii nyota wa muziki nchini Kenya, Willy Paul, ametoa kauli tata akijisifia kuwa yeye pekee ndiye msanii ambaye hajawahi kula pesa za wamama, huku akiwakosoa wasanii wenzake kwa kutumia wanawake kama chanzo cha kipato na kiki. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Willy Paul amejipongeza kwa kusema kuwa yeye ndiye msanii pekee ambaye hajawahi kuishi kwa […]

Read More
 Wasanii wa Tanzania Wapata Hasara Kubwa Baada ya Maandamano

Wasanii wa Tanzania Wapata Hasara Kubwa Baada ya Maandamano

Maandamano makubwa yaliyolenga kupinga kile kinachoelezwa kuwa udhalimu wa serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, yamegeuka kuwa janga kwa baadhi ya wasanii wa Bongofleva, baada ya biashara zao kuripotiwa kushambuliwa, kuvunjwa na kuchomwa moto na waandamanaji wenye hasira. Jijini Dar es Salaam, mgahawa maarufu wa Shishi Food, unaomilikiwa na msanii wa muziki Shilole, […]

Read More
 Bahati Aomba Msamaha Hadharani Baada ya Ukosoaji Mkubwa wa Mashabiki

Bahati Aomba Msamaha Hadharani Baada ya Ukosoaji Mkubwa wa Mashabiki

Msanii wa muziki mwenye utata kutoka Kenya, Bahati, amelazimika kuomba msamaha hadharani kufuatia wimbi la ukosoaji alilopokea kutokana na maudhui yake mapya tangu arejee kwenye muziki. Kupitia video aliyoipakia kwenye mitandao ya kijamii, Bahati ameeleza kuwa amepokea simu na jumbe nyingi kutoka kwa marafiki wa karibu, mashabiki, wachungaji, na hata watu wasiowajua, wakionesha kutoridhishwa na […]

Read More
 Khaligraph Jones Adokeza Kolabo Mpya na Msanii Chipukizi Toxic Lyrikali

Khaligraph Jones Adokeza Kolabo Mpya na Msanii Chipukizi Toxic Lyrikali

Mfalme wa rap nchini Kenya, Khaligraph Jones, amedokeza uwezekano wa kufanya kolabo na msanii anayechipukia kwa kasi, Toxic Lyrikali, huku akimsifia kwa kuendelea kushikilia mizizi ya rap nchini humo. Kupitia mazungumzo yaliyowekwa wazi na mdau wa muziki Thithad3, Khaligraph ameonyesha kuvutiwa na kazi ya Toxic, akisema kuwa kwa sasa ndiye anayeshikilia uhalisia wa rap nchini […]

Read More
 Mahakama Yakataa Kuondoa Video ya Utata ya Robert Burale

Mahakama Yakataa Kuondoa Video ya Utata ya Robert Burale

Mhubiri mwenye utata nchini Kenya Robert Burale amepata pigo kubwa baada ya mahakama ya Nairobi kukataa ombi lake la kutaka mahojiano ya video yaliyofanywa na mke wake wa zamani, Rozina Mwakideu, yafutwe na kuondolewa kwenye mitandao ya kijamii. Katika uamuzi uliotolewa Jumanne,Mahakama imekataa ombi hilo la kuondoa video hiyo mtandaoni, lakini ikaamuru Rozina na Alex […]

Read More