Dr. Dre Aingia Kwenye Orodha ya Mabilionea Duniani
Mkali wa muziki wa hip-hop na mfanyabiashara maarufu Dr. Dre amefikia rasmi hadhi ya bilionea kulingana na orodha ya mabilionea ya mwaka 2026 iliyotolewa na Forbes. Kwa mujibu wa jarida hilo, Dr. Dre ambaye anashika nafasi ya 3,332 duniani, sasa anaungana na kundi dogo la watu mashuhuri katika sekta ya burudani ambao wamevuka thamani ya […]
Read More