KRG The Don Akerwa na Kauli ya Kendi Kudharau Tuzo yake

KRG The Don Akerwa na Kauli ya Kendi Kudharau Tuzo yake

Msanii wa dancehall nchini Kenya, KRG The Don, amemshambulia vikali mrembo na mtangazaji Kendi baada ya kumkosoa kufuatia ushindi wake wa tuzo ya Dancehall Artist of the Year. Akizungumza kupitia mitandao ya kijamii, KRG amemtolea uvivu Kendi, akisema hana uelewa wowote kuhusu muziki wa dancehall na hana mamlaka ya kuzungumzia tasnia ya muziki. Msanii huyo […]

Read More
 Buruklyn Boyz Watawala Chati za Muziki Kenya

Buruklyn Boyz Watawala Chati za Muziki Kenya

Kundi la Buruklyn Boyz, limeendelea kutikisa chati za muziki nchini Kenya kufuatia bifu lao na rapa Toxic Lyrikali ambalo linazidi kupamba moto mtandaoni. Diss tracks zao zilizotolewa hivi karibuni zimeonyesha mafanikio makubwa kwenye majukwaa mbalimbali ya kidijitali ambapo wimbo wao “Genje Sana” umefanikiwa kushika nafasi ya kwanza kwenye chati ya Apple Music Top 100 Kenya, […]

Read More
 Akothee Akataa Wahudumu wa Benki Wanawake kwa Madai ya Kukiuka Faragha

Akothee Akataa Wahudumu wa Benki Wanawake kwa Madai ya Kukiuka Faragha

Mwanamuziki, Akothee, ameeleza wazi kutoridhishwa kwake na namna baadhi ya wahudumu wa benki nchini Kenya, hasa wanawake, wanavyomhudumia. Kupitia kurasa zake za kijamii, Akothee amesema kuwa kuanzia mwaka 2026 hataki kuhudumiwa na wahudumu wa benki wanawake. Amedai kuwa baadhi yao wamekuwa wakimuonesha kukosa weledi wanapokutana naye kazini. Amesema kuwa mara nyingi anapoingia benki, baadhi ya […]

Read More
 Kiredio Adai Content Creators Wanaingiza Pesa Kuliko Wasanii Wengi wa Muziki

Kiredio Adai Content Creators Wanaingiza Pesa Kuliko Wasanii Wengi wa Muziki

Mwanamitandao kutoka nchini Tanzania, Kiredio, amedai kuwa watengeneza maudhui (content creators) wanaingiza kipato kikubwa zaidi kuliko wasanii wengi wa muziki wa Bongofleva wanaofahamika na kushangiliwa mitaani. Kupitia InstaStory yake, Kiredio ameposti moja ya mikataba yake ya kazi ikionesha analipwa kiasi cha shilingi milioni 17 kwa kazi moja tu na kusisitiza kuwa sekta ya utengenezaji maudhui […]

Read More
 Diana Marua Akanusha Madai ya Kufanyiwa Surgery Baada ya Kuonekana Kupungua Uzito

Diana Marua Akanusha Madai ya Kufanyiwa Surgery Baada ya Kuonekana Kupungua Uzito

Staa wa mitandao ya kijamii nchini Kenya, Diana Bahati, amekanusha vikali madai yanayoenea mtandaoni kuwa amefanyiwa upasuaji baada ya kuonekana kupungua uzito. Kupitia InstaStory, Diana ameweka wazi kuwa hajafanya upasuaji wowote wa kubadili muonekano wake, akiisitiza kuwa madai hayo hayana ukweli wowote na ni uvumi tu wa mitandaoni. Mbali na hilo, Diana B pia amepuzilia […]

Read More
 Nadia Mukami Akataa Shinikizo za Kupunguza Uzito

Nadia Mukami Akataa Shinikizo za Kupunguza Uzito

Msanii wa muziki nchini Kenya Nadia Mukami amewajibu kwa kejeli walimwengu wanaomtaka apunguze uzito, akisema wazi kuwa hana mpango wowote wa kupunguza uzito kwa sasa hasa baada ya kuongeza makalio. Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, Nadia amesema kuwa amekuwa akipokea maoni mengi kutoka kwa baadhi ya watu wanaodai mwili wake umebadilika na kumshauri […]

Read More