Wastara Juma Aapa Kupigania Penzi lake na Dudu Baya

Wastara Juma Aapa Kupigania Penzi lake na Dudu Baya

Mwigizaji nyota wa filamu za Bongo, Wastara Juma, amewatolea uvivu watu wanaoponda na kudharau uhusiano wake na mwanamuziki mkongwe wa Bongo Flava, Dudu Baya. Akiwa amechoshwa na maneno ya kashfa, Wastara ameapa kulilinda penzi hilo kwa nguvu zake zote, akisisitiza kuwa Dudu Baya ni mwanaume kama walivyo wanaume wengine na ana haki ya kupendwa na […]

Read More
 Rapa Toxic Lyrikali Akiri Kunusurika Kifo Kufuatia Uvamizi wa Genge la Watu 40.

Rapa Toxic Lyrikali Akiri Kunusurika Kifo Kufuatia Uvamizi wa Genge la Watu 40.

Rapa Toxic Lyrikali amevunja ukimya na kutoa ufafanuzi kuhusu tukio la kikatili lililompata jana usiku katika eneo la Kiamaiko Nairobi ambapo alivamiwa ghafla na watu wasiojulikana. Kupitia Insta Live, Toxic amethibitisha kutokea kwa uvamizi huo akisema alishambuliwa na genge la watu takriban 40 akiwa na washirika wake watatu. Amesema kuwa licha ya kuzidiwa nguvu na […]

Read More
 Willy Paul Afunguka Majuto ya Kuachana na Muziki wa Injili.

Willy Paul Afunguka Majuto ya Kuachana na Muziki wa Injili.

Msanii nyota wa muziki nchini Kenya, Willy Paul, amewashangaza mashabiki wake baada ya kuandika ujumbe mzito wa majuto, akikiri kupoteza mwelekeo tangu alipoachana na muziki wa injili. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, msanii huyo ambaye kwa miaka kadhaa amekuwa akitamba upande wa muziki wa kidunia (secular), amefunguka kuwa moyo wake hauna amani na […]

Read More

Casombie Casino : que vérifier en premier en cas de problème avec un bonus

Un bonus qui ne s’affiche pas, des tours gratuits absents ou un retrait bloqué demandent d’abord une vérification méthodique. Sur Casombie Casino, les conditions peuvent varier selon le pays, le moyen de paiement et la promotion choisie. Avant de jouer davantage, consultez les règles liées à l’offre, notamment les casombie casino règles du jeu, puis […]

Read More

Comment les jeux du shuffle casino comptent dans les exigences de mise

Avant d’examiner les exigences de mise du shuffle casino, une restriction doit être claire : la France figure parmi les juridictions interdites dans les conditions d’utilisation. L’interface française ne change pas cette règle. Pour vérifier les informations disponibles sur la plateforme, https://shufflefrance.fr/ peut servir de point de départ, mais les conditions officielles restent déterminantes pour […]

Read More

europe777 casino : confirmation du téléphone, indicatifs français et réception des SMS

La confirmation du numéro est souvent demandée avant un dépôt, un retrait ou l’accès à une promotion. Sur europe777 casino, les joueurs français doivent surtout vérifier l’indicatif saisi, la réception du code et l’identité de l’opérateur. Voici comment comprendre la procédure, quoi faire si le SMS n’arrive pas et pourquoi cette vérification ne suffit pas […]

Read More
 Facebook Messenger kufungwa rasmi kuanzia Aprili

Facebook Messenger kufungwa rasmi kuanzia Aprili

Kampuni ya Facebook imetangaza rasmi kuwa itafunga app yake ya Facebook Messenger kuanzia mwezi April mwaka huu. Kwa mujibu wa tangazo hilo, mabadiliko hayo yataanza kwa watumiaji wa kompyuta za Mac na Windows. Baadaye, kampuni hiyo inapanga kuondoa kabisa Messenger kama app inayojitegemea na kubakiza huduma ya ujumbe ndani ya Facebook pekee katika majukwaa yote. […]

Read More