Lydia Jazmine Amshauri Spice Diana Aache Kumzungumzia Roger Lubega Hadhrani

Lydia Jazmine Amshauri Spice Diana Aache Kumzungumzia Roger Lubega Hadhrani

Msanii wa muziki kutoka Uganda, Lydia Jazmine, amemshauri Spice Diana kujiepusha na mazungumzo ya mara kwa mara kuhusu aliyekuwa meneja wake Roger Lubega kwenye vyombo vya habari, akionya kuwa hatua hiyo inaweza kuathiri safari yake ya muziki. Akizungumzia suala hilo, Lydia Jazmine amesema kuwa Diana akiendelea kumzungumzia meneja wake wa zamani kutazua mijadala isiyo ya […]

Read More
 Chin Bees Asema Aliandika Nyimbo za Navy Kenzo Bila Kulipwa

Chin Bees Asema Aliandika Nyimbo za Navy Kenzo Bila Kulipwa

Msanii kutoka Tanzania, Chin Bees, amefunguka wazi kuhusu uhasama wake na kundi la muziki la Navy Kenzo, akisema hana mapenzi nao kabisa kutokana na kile alichodai kuwa alidhulumiwa kimasilahi. Kulingana na Chin Bees, aliandika baadhi ya nyimbo za kundi hilo lakini hakuwahi kulipwa wala kutambuliwa kwa mchango wake. Akipiga stori na Mjini FM, amesema kuwa […]

Read More
 Miss P Afunguka Kuhusu Kuacha Muziki

Miss P Afunguka Kuhusu Kuacha Muziki

Aliyekuwa msanii wa lebo ya Saldido International, Miss P, amefunguka kwa hisia kali kuhusu kujiondoa kwake ghafla kwenye tasnia ya muziki. Kupitia TikTok Live iliyojaa majonzi, msanii huyo ameeleza kuwa umaarufu wa ghafla ulimlemea akiwa bado mdogo sana. Amesema alijikuta katika mazingira magumu ya tasnia ambayo hakuyafahamu vyema kutokana na umri wake mdogo, hali iliyowafanya […]

Read More

Betzino : jeux télévisés en direct ou tables live classiques ?

Sur Betzino, les jeux en direct se divisent surtout entre émissions interactives et tables de casino traditionnelles. Les premiers misent sur le rythme et l’animation, tandis que les secondes privilégient des règles connues et une lecture plus simple des mises. Pour découvrir l’offre destinée au public français, betzino france permet d’aborder la plateforme avant de […]

Read More

europe777 Dragon Tiger : paris principaux, égalités et conditions de paiement

Le Dragon Tiger repose sur une comparaison simple entre deux cartes, mais les détails de paiement et de retrait demandent une vérification attentive. Sur europe777, le jeu devrait être recherché dans la rubrique casino en direct, sans supposer qu’il est toujours disponible ni que ses cotes sont identiques à celles d’une autre plateforme. Pour compléter […]

Read More
 Solomon Mkubwa Afunguka Sababu ya Kupoteza Mkono Wake

Solomon Mkubwa Afunguka Sababu ya Kupoteza Mkono Wake

Msanii wa muziki wa injili Solomon Mkubwa amefunguka kuhusu sababu nzito iliyopelekea kupoteza mkono wake wa kulia, akieleza kuwa tukio hilo lilitokana na kile anachodai kuwa mashambulizi ya giza alipokuwa bado mtoto. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni, Solomon amesema mkasa huo ulitokea alipokuwa na umri wa takribani miaka 12, kipindi ambacho familia yao ilikuwa inapitia […]

Read More
 Emmy Kosgei Azua Gumzo Kuhusu Maisha ya Wachungaji Nairobi

Emmy Kosgei Azua Gumzo Kuhusu Maisha ya Wachungaji Nairobi

Mwimbaji mkongwe wa muziki wa injili, Emmy Kosgei, amezua mjadala mzito baada ya kudai kuwa baadhi ya wachungaji jijini Nairobi wanaishi maisha ya anasa yanayokinzana na mafundisho wanayohubiri makanisa siku za Jumapili. Akizungumza kufuatia mazungumzo aliyoyapata akiwa safarini kwa ndege, Kosgei amesema alipata simulizi kutoka kwa mhudumu wa ndege (air hostess) aliyedai kuwa wachungaji wengi […]

Read More
 VJ Patelo Asema Hategemei Muziki kama Kitega Uchumi

VJ Patelo Asema Hategemei Muziki kama Kitega Uchumi

Msanii wa Arbantone VJ Patello amedai kuwa hahitaji muziki ili kuishi au kufanikisha maisha yake. Akizungumza kwenye mahojiano yake hivi karibuni, msanii huyo ameweka bayana kuwa muziki si msingi wa maisha yake, akisema kuwa anaweza kuishi na kufanikiwa hata bila kuendelea na muziki. Patelo, amewataka watu wanaofuatilia kukoma na kuendelea na shughuli zao bila kujihusisha […]

Read More
 Bahati na Diana B Wazima Tetesi za Kuachana kwa Kuonekana Pamoja Kwenye Klabu

Bahati na Diana B Wazima Tetesi za Kuachana kwa Kuonekana Pamoja Kwenye Klabu

Mwanamuziki kutoka Kenya, Bahati na mke wake Diana Marua, wameonekana wakifurahia burudani pamoja siku chache tu baada ya kuzuka kwa tetesi za kuvunjika kwa ndoa yao, jambo lililozua gumzo kubwa mitandaoni. Kupitia video inayosambaa mtandaoni, wawili hao wameonekana wakiwa kwenye moja night club katika hali ya furaha, wakicheka na kusherehekea pamoja, hali iliyozima uvumi uliokuwa […]

Read More