TikTok Yaongeza Sehemu Mpya ya Kutuma Cards Kwenye DM

TikTok Yaongeza Sehemu Mpya ya Kutuma Cards Kwenye DM

Mtandao wa kijamii wa TikTok umeendelea kuja na maboresho mapya kwa watumiaji wake. Safari hii, TikTok imeongeza kipengele kipya kinachowaruhusu watumiaji kutuma Cards kupitia ujumbe binafsi, maarufu kama DM. Kupitia kipengele hiki kipya, mtumiaji anaweza kutuma card inayofanana na kadi ya kawaida ya kuandikia ujumbe mfupi. Ujumbe huo hujificha ndani ya card, na mpokeaji atalazimika […]

Read More

Savaspin conserve-t-il les conditions archivées des bonus déjà réclamés ?

Pour savoir si Savaspin conserve les règles d’un bonus déjà réclamé, il faut distinguer les conditions affichées au moment de l’activation, les règles générales et les modifications d’une promotion. La page française, accessible via https://savaspins.fr/ au milieu de nos vérifications, donne plusieurs repères, mais ne confirme pas l’existence d’un véritable archivage personnel complet. Voici les […]

Read More

Only spins : règles des lots non monétaires, substitution et alternative en espèces

Les lots non monétaires peuvent prendre la forme de tours gratuits, de crédits promotionnels ou de récompenses liées à un tournoi. Pour les joueurs français, le point essentiel est de distinguer la valeur annoncée, les conditions d’utilisation et la possibilité réelle d’obtenir de l’argent à la place. Cette analyse d’Only spins précise ce qui est […]

Read More

Wildz VIP Anniversary Rewards: Membership Duration and Eligibility Explained

Wildz VIP anniversary rewards may sound like a fixed benefit, but the published information does not confirm a separate anniversary payment or a set membership anniversary date. What is clear is how the Loyalty+ programme works, who may receive an invitation, and which benefits can continue while membership remains active. This guide separates confirmed details […]

Read More

Notifications de campagne chez Mystake : e-mails, SMS et messages du compte

Les notifications de campagne chez Mystake peuvent signaler une offre, rappeler une condition ou confirmer une étape du compte. Elles ne remplacent pas les conditions officielles d’une promotion. Pour vérifier les informations disponibles sur le https://mystakecasinoenligne.fr, il faut comparer le message reçu avec la page de l’offre, la caisse et les règles affichées au moment […]

Read More
 TikTok Yafanya Maboresho Makubwa kwenye Sehemu ya Profile

TikTok Yafanya Maboresho Makubwa kwenye Sehemu ya Profile

App ya TikTok imefanya mabadiliko mapya katika mwonekano wa sehemu ya Profile za watumiaji wake. Katika maboresho hayo mapya, TikTok imehamisha taarifa muhimu kama picha ya profile, Bio pamoja na Links na kuziweka upande wa kushoto wa ukurasa wa profile. Mabadiliko haya yamezua mjadala mkubwa, huku watumiaji wengi wakisema muonekano huo unafanana kwa kiasi kikubwa […]

Read More
 Trump Achukizwa na Mzaha wa Trevor Noah Grammy

Trump Achukizwa na Mzaha wa Trevor Noah Grammy

Rais wa Marekani Donald Trump ameonyesha kuchukizwa na mzaha uliotolewa na mchekeshaji Trevor Noah wakati wa hafla ya utoaji wa tuzo za Grammy zilizofanyika usiku wa kuamkia leo. Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mtandao wake wa Truth Social, Trump amekanusha madai yaliyoibuliwa na mshereheshaji wa hafla hiyo Trevor Noah aliyefanya mzaha kuwa Rais Trump na aliyekuwa […]

Read More
 Mercy Masika Akiri Kupata Ugumu wa Kumpikia Mume wake

Mercy Masika Akiri Kupata Ugumu wa Kumpikia Mume wake

Mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka Kenya, Mercy Masika, amekiri kuwa alipitia changamoto kubwa katika mwaka wake wa kwanza wa ndoa, hasa katika suala la kumpikia mume wake, akisema hali hiyo ilikuwa mshtuko kwake mwanzoni. Akizungumza kuhusu uzoefu huo, Masika amesema alijikuta akishangazwa na kuona mume wake amekaa chini akisubiri apikiwe, jambo ambalo halikuwa rahisi […]

Read More
 Ruth K Akanusha Kumdhuru Mwanawe kwa Ajili ya Kuvutia Hisia za Mulamwah

Ruth K Akanusha Kumdhuru Mwanawe kwa Ajili ya Kuvutia Hisia za Mulamwah

Mwanamitandao kutoka Kenya, Ruth K, amekanusha vikali madai yanayosambaa mitandaoni yanayodai kuwa alimdhuru mwanawe kwa makusudi ili kuvutia hisia za baby daddy wake, Mulamwah, na kupata maudhui ya mitandao ya kijamii. Kupitia waraka mrefu kwenye Instastory, Ruth K amesema hawezi kamwe kumuumiza mtoto wake kwa sababu yoyote ile, akisisitiza kuwa madai hayo ni ya uongo […]

Read More
 Kendrick Lamar Aandika Historia Mpya Grammy

Kendrick Lamar Aandika Historia Mpya Grammy

Msanii nyota wa hip-hop kutoka Marekani, Kendrick Lamar, ameendelea kuthibitisha ubora wake katika muziki baada ya kuandika historia mpya kwenye tuzo za Grammy. Kwenye hafla ya 68 za ugawaji wa tuzo za Grammy iliyofanyika usiku wa kuamkia leo huko Jijini Los Angeles, Lamar alifanikiwa kushinda mataji kadhaa. Miongoni mwa tuzo alizonyakua ni pamoja na Best […]

Read More
 Tyla Aandika Historia Tena kwa Kutwaa Grammy

Tyla Aandika Historia Tena kwa Kutwaa Grammy

Msanii wa kimataifa kutoka Afrika Kusini, Tyla, ameendelea kuandika historia katika muziki wa Afrika baada ya kutwaa tuzo ya Grammy kupitia wimbo wake “Pusha 2 Start” katika kipengele cha Best African Performance. Tyla aliwashinda wasanii wakubwa barani Afrika akiwemo Davido, Ayra Starr aliyeshirikiana na WizKid katika wimbo “Gimmie Dat”, Burna Boy kupitia wimbo “Love”, pamoja […]

Read More