Mke wa Mkubwa Fella Awajibu Waliomsema Vibaya Mume Wake

Mke wa Mkubwa Fella Awajibu Waliomsema Vibaya Mume Wake

Mke wa Mkubwa Fella amejibu vikali watu waliomsema vibaya mume wake wakati alipokuwa akipitia kipindi kigumu cha kiafya. Kupitia instastory yake, mwanamama huyo amechapisha video inayoonyesha yeye na Mkubwa Fella wakifurahia kinywaji, huku hali ya Mkubwa Fella ikionekana kuimarika na kuwa nzuri. Katika video hiyo, wawili hao wameonekana wakiwa na furaha na tabasamu, ishara iliyowafanya […]

Read More
 Khaligraph Jones Atikisa Mitandao kwa Kionjo cha Ngoma Mpya

Khaligraph Jones Atikisa Mitandao kwa Kionjo cha Ngoma Mpya

Rapa mkali kutoka Kenya, Khaligraph Jones, ametikisa mitandao ya kijamii baada ya kuachia kionjo (teaser) cha ngoma yake mpya inayotarajiwa hivi karibuni. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, rapa huyo amewashangaza mashabiki kwa kuposti video fupi akionekana anachana kwenye beat kali, akionyesha umahiri wake katika uandishi na utoaji wa mistari mizito. Khaligraph amesindikiza video hiyo na […]

Read More
 Harmonize Atoa Angalizo kwa Wasanii Wanaopanga Kuachia Nyimbo Wiki Ijayo

Harmonize Atoa Angalizo kwa Wasanii Wanaopanga Kuachia Nyimbo Wiki Ijayo

Staa wa muziki wa Bongoflava, Harmonize, ametoa angalizo kwa wasanii wanaopanga kuachia nyimbo mpya wiki ijayo, akiwataka waahirishe mipango yao. Kupitia mitandao ya kijamii, Harmonize ameweka wazi msimamo wake kwa maneno makali akisema wasanii watakaothubutu kuachia nyimbo zao juma lijalo huenda wakakosa kupata mapokezi mazuri sokoni. Kwa mujibu wa Harmonize, muda huo ni maalum kwa […]

Read More
 Stevo Simple Boy Awasisimua Mashabiki Mitandaoni Kupitia Wishlist ya Birthday

Stevo Simple Boy Awasisimua Mashabiki Mitandaoni Kupitia Wishlist ya Birthday

Msanii wa muziki, Stevo Simple Boy, amewasisimua mashabiki wake mitandaoni baada ya kushiriki wishlist yake ya siku ya kuzaliwa iliyojaa vionjo, mizaha na ndoto kubwa za maisha. Kupitia orodha hiyo, Stevo ameonyesha wazi matamanio yake akigusia masuala ya mapenzi, mafanikio, umaarufu na maisha ya kifahari. Miongoni mwa aliyoyataja ni kutamani kuwa na bibi wa pili […]

Read More
 Chief Godlove Afunguka Sababu za Kusafirisha Magari yake Kenya

Chief Godlove Afunguka Sababu za Kusafirisha Magari yake Kenya

Bilionea Chief Godlove amefunguka kuhusu uamuzi wake wa kusafirisha baadhi ya magari yake ya kifahari kutoka Dar es Salaam, Tanzania hadi Nairobi, Kenya. Kupitia mitandao ya kijamii, Godlove amesema hatua hiyo imechochewa na changamoto ya uhaba wa mafundi wenye ujuzi wa kutosha kuyahudumia magari hayo nchini Tanzania. Mwanamitandao huyo, amesema kuwa magari yake yanahitaji huduma […]

Read More
 Abdu Kiba Akanusha Taarifa za Kushindwa Kulipa Chips

Abdu Kiba Akanusha Taarifa za Kushindwa Kulipa Chips

Nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Abdukiba, ameibuka na kukanusha vikali madai yanayosambaa mitandaoni kuwa alishindwa kulipa shilingi 8,000 za Kitanzania kwa muuza chips wa mtaani, tukio lililodaiwa kusababisha uharibifu wa gari lake. Akizungumza na vyombo vya habari, Abdukiba amesema wazi kuwa madai hayo si ya kweli, akisisitiza kuwa hajawahi kukwepa kulipa huduma au bidhaa […]

Read More
 Barnaba Classic Awaonya Vijana wa Gen Z Kuhusu Ndoa

Barnaba Classic Awaonya Vijana wa Gen Z Kuhusu Ndoa

Msanii wa muziki wa Bongoflava, Barnaba Classic, amewataka vijana wa kizazi cha Gen Z kuwa waangalifu wanapofanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa, akisisitiza kuwa tamaa za mwili pekee hazitoshi kujenga ndoa imara. Kupitia ujumbe aliotoa hivi karibuni, Barnaba amesema kuwa vijana wengi siku hizi wanaingia kwenye mahusiano ya ndoa wakiongozwa na hisia za muda mfupi […]

Read More
 Mwijaku Arudiana na Mke Wake Baada ya Mgogoro wa Ndoa

Mwijaku Arudiana na Mke Wake Baada ya Mgogoro wa Ndoa

Mtangazaji na mdau wa burudani, Mwijaku, ameripotiwa kurudiana na mke wake miezi kadhaa baada ya ndoa yao kugubikwa na mgogoro mkubwa uliovuma sana mitandaoni na kwenye vyombo vya habari. Mwijaku amethibitisha hilo kwa kuposti video kwenye mitandao ya kijamii akiwa pamoja na mkewe wakikagua ujenzi unaoendelea wa jumba lao la kifahari (mansion) Katika video hiyo, […]

Read More
 Rose Muhando Akanusha Tetesi za Kufunga Ndoa Kenya

Rose Muhando Akanusha Tetesi za Kufunga Ndoa Kenya

Msanii wa muziki wa injili kutoka Tanzania, Rose Muhando, ameibuka na kukanusha vikali tetesi zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa amefunga ndoa nchini Kenya. Akizungumza kufuatia kusambaa kwa clip moja mtandaoni, Rose Muhando amesema hajawahi kuolewa na mwanaume yeyote chini ya jua, akisisitiza kuwa taarifa hizo si za kweli kabisa. Msanii huyo ameeleza kuwa ameshtushwa na madai […]

Read More
 Manchester United Yaichakaza Manchester City Old Trafford

Manchester United Yaichakaza Manchester City Old Trafford

Manchester United imeibuka na ushindi wa mabao 2–0 dhidi ya mahasimu wao wa jadi, Manchester City, katika mchezo wa Ligi Kuu ya England (EPL) uliopigwa uwanjani Old Trafford. Mchezo ulianza kwa kasi huku pande zote zikionesha nia ya kutafuta ushindi. Manchester City ilijaribu kutumia umiliki wa mpira na mashambulizi ya haraka, lakini ngome ya United […]

Read More