Stevo Simple Boy Amkataa Hadharani Pritty Vishy

Stevo Simple Boy Amkataa Hadharani Pritty Vishy

Msanii wa muziki kutoka Kenya, Stevo Simple Boy, ameibuka na kauli nzito dhidi ya aliyekuwa mpenzi wake Pretty Vishy, akidai kuwa hamtambui kama mtu maarufu nchini humo. Akizungumza na Mannu Podcast, Stevo amesema Pretty Vishy alitumia kivuli cha mahusiano yao kujitengenezea jina na kujipendekeza kwa umma, akisisitiza kuwa umaarufu wake ulitokana zaidi na kuhusishwa naye […]

Read More
 A Pass Ashambuliwa Siku ya Uchaguzi Uganda

A Pass Ashambuliwa Siku ya Uchaguzi Uganda

Mwanamuziki kutoka Uganda, A Pass, amefichua kuwa alipata majeraha mabaya baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana wakati wa uchaguzi mkuu uliofanyika Januari 15. A Pass amesema tukio hilo lilitokea karibu na kituo cha kupigia kura, takribani mita 50 kutoka eneo la kura, alipodai kuvamiwa ghafla na wanaume watatu. Kwa mujibu wa msanii huyo, shughuli zake […]

Read More
 Rose Muhando Awapuuza Wanaume Wanaomtaka Kimapenzi

Rose Muhando Awapuuza Wanaume Wanaomtaka Kimapenzi

Msanii wa nyimbo za injili kutoka Tanzania, Rose Muhando, ameweka wazi msimamo wake kuhusu masuala ya mahusiano na ndoa, akisisitiza kuwa hawezi kukubali ombi lolote la mwanaume anayemtaka kimapenzi bila kupata ruhusa kutoka kwa Mungu. Akizungumza kwenye podcast ya Sky Walker, Rose amesema maamuzi yote makubwa katika maisha yake huongozwa na imani, na suala la […]

Read More
 TikTok Kuleta Mapinduzi ya Movies Fupi Kupitia PineDrama

TikTok Kuleta Mapinduzi ya Movies Fupi Kupitia PineDrama

Mtandao wa kijamii wa TikTok umeanzisha rasmi programu (app) mpya inayoitwa PineDrama, inayolenga kutoa burudani ya micro-dramas yaani video fupi za mfululizo pamoja na filamu zenye simulizi fupi lakini zenye mvuto mkubwa kwa watazamaji. Kwa mujibu wa TikTok, PineDrama imeundwa mahsusi kwa ajili ya watumiaji wanaopenda hadithi fupi zilizojaa ubunifu, ambapo maudhui yote yatakuwa katika […]

Read More
 Senegal Yaibuka Mabingwa wa AFCON 2025

Senegal Yaibuka Mabingwa wa AFCON 2025

Timu ya Taifa ya Senegal imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 baada ya kuifunga Morocco bao 1-0 katika mchezo wa fainali uliochezwa mjini Rabat. Mchezo huo ulimalizika kwa sare ya bila mabao katika dakika 90 za kawaida. Dakika ya 90 Morocco walipata nafasi ya penati, lakini mchezo ulisimama kwa takribani […]

Read More

Stake : revue des paiements le week-end et disponibilité des virements

Cette revue explique comment Stake traite un retrait demandé le week-end, depuis l’approbation du compte jusqu’à l’arrivée des fonds. Le point essentiel est simple : une demande peut être enregistrée immédiatement, mais son traitement bancaire dépend des jours ouvrés, du moyen choisi et des contrôles éventuels. Pour comparer les informations disponibles, https://lepaname-restaurant.fr/ peut servir de […]

Read More

Événements sur invitation Casinozer : accepter et conserver ses preuves de participation

Les événements sur invitation de Casinozer peuvent prendre la forme de défis, courses, tournois ou offres envoyées par Telegram et par e-mail. Avant d’accepter, il faut vérifier les conditions, l’éligibilité de son compte et les délais applicables. Cette méthode aide aussi à conserver des preuves utiles si une récompense tarde ou si une participation est […]

Read More
 Msanii wa Injili Jennifer Mugendi Awaonya Wasanii Kuhusu Mikataba ya Muziki

Msanii wa Injili Jennifer Mugendi Awaonya Wasanii Kuhusu Mikataba ya Muziki

Mwimbaji wa muziki wa Injili, Jennifer Mugendi, amewataka wasanii kuwa waangalifu wanapoingia kwenye mikataba ya muziki, akisisitiza umuhimu wa kusoma kwa makini vipengele vyote vya mkataba kabla ya kuweka saini. Akizungumza kuhusu uzoefu wake binafsi, Jennifer amesema kuwa aliwahi kudanganywa kwa maneno matamu na kuahidiwa mkataba wa miaka miwili, lakini baadaye aligundua kuwa alichosaini kilikuwa ni mkataba wa miaka […]

Read More
 Zuchu Aiwakilisha Tanzania Katika Filamu ya Iyabo Ojo

Zuchu Aiwakilisha Tanzania Katika Filamu ya Iyabo Ojo

Msanii nyota wa muziki kutoka Tanzania, Zuchu, ametajwa kuwa miongoni mwa mastaa watakaoonekana katika filamu mpya ya kimataifa ya muigizaji maarufu wa Nigeria, Iyabo Ojo, inayofahamika kwa jina la “The Return of Arinzo.” Ushiriki wa Zuchu katika filamu hiyo umeibua gumzo kubwa miongoni mwa mashabiki wake, wengi wakisubiri kwa hamu kuona namna atakavyojitokeza katika ulimwengu wa filamu za […]

Read More
 Geoffrey Lutaaya Ashindwa Kiti cha Ubunge Kakuuto Kupitia NUP

Geoffrey Lutaaya Ashindwa Kiti cha Ubunge Kakuuto Kupitia NUP

Mgombea wa chama cha National Unity Platform (NUP), Geoffrey Lutaaya, ameshindwa katika kinyang’anyiro cha ubunge wa Kaunti ya Kakuuto wilayani Kyotera, baada ya kupoteza dhidi ya mgombea wa chama tawala cha NRM, Ismail Lubega. Lutaaya, ambaye alikuwa anawania kutetea kiti hicho, aliingia bungeni kwa mara ya kwanza mwaka 2021 baada ya kuchaguliwa kuiwakilisha NUP katika […]

Read More