Mama Dangote Akingia Kifua Diamond Kuhusu Msaada kwa Mkubwa Fella

Mama Dangote Akingia Kifua Diamond Kuhusu Msaada kwa Mkubwa Fella

Mama mzazi wa msanii Diamond Platnumz, Mama Dangote, amejitokeza hadharani kumkingia kifua mwanaye kufuatia tuhuma zilizosambaa mitandaoni zikidai kuwa Diamond amemtelekeza aliyekuwa meneja wake, Mkubwa Fella, ambaye kwa sasa anaendelea na matibabu. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mama Dangote ameeleza kwa kina mchango uliotolewa na Diamond pamoja na familia tangu mwanzo wa changamoto hiyo. Amefafanua […]

Read More
 MC Kats Ataka Eddy Kenzo Kukamatwa kwa Tuhuma za Wizi

MC Kats Ataka Eddy Kenzo Kukamatwa kwa Tuhuma za Wizi

Mtangazaji maarufu nchini Uganda, MC Kats, ametaka msanii Eddy Kenzo kukamatwa na kuwajibishwa kufuatia tuhuma nzito za madai ya wizi na matumizi mabaya ya fedha zilizokuwa zimetengwa kusaidia wasanii. MC Kats anadai kuwa Eddy Kenzo, ambaye pia ni kiongozi wa shirikisho la wasanii Uganda, alitumia vibaya fedha za serikali zilizotolewa kwa ajili ya kuwainua wasanii […]

Read More
 Vindee Aomba Radhi Baada ya Kudai Ana Ukaribu na IShowSpeed

Vindee Aomba Radhi Baada ya Kudai Ana Ukaribu na IShowSpeed

Prankster kutoka Kenya Vindee ameomba radhi Wakenya baada ya kudai awali kuwa alikuwa katika mawasiliano na staa wa mitandao ya kijamii, IShowSpeed, kuhusiana na ziara yake nchini humo. Kupitia taarifa rasmi aliyotoa mtandaoni, Vindee amesema lengo lake halikuwa kuwapotosha watu wala kutafuta kiki, akisisitiza kuwa ni mzaha uliotoka nje ya muktadha uliokusudiwa. Ameongeza kuwa licha […]

Read More
 Bobi Wine Aapa Kuendelea Kuimba Hata Akiwa Rais

Bobi Wine Aapa Kuendelea Kuimba Hata Akiwa Rais

Msanii aliyegeukia siasa, Bobi Wine, amesema hatouacha muziki hata kama atachaguliwa kuwa rais ajaye wa Uganda. Kiongozi huyo wa chama cha NUP amesema muziki ni sehemu ya maisha yake na utambulisho wake, na hakuna kitu kinachoweza kumtenganisha nao hata madaraka ya juu kabisa ya nchi. Akizungumza na wanahabari, Bobi Wine amesema kuwa muziki wake umekuwa […]

Read More
 Mwijaku Aapa Kumkingia Kifua Mkubwa Fella Licha ya Kumdharau

Mwijaku Aapa Kumkingia Kifua Mkubwa Fella Licha ya Kumdharau

Mtangazaji na mdau wa burudani, Mwijaku, amefunguka kwa uchungu namna meneja wa wasanii Mkubwa Fella aliwahi kumdharau kipindi cha nyuma kiasi cha kutomsalimia. Akizungumza kwa hisia kali, Mwijaku amesema Mkubwa Fella hakutaka kumuona karibu yake na mara nyingi alikuwa akipuuza salamu zake kama mtu asiyefaa katika jamii. Mwijaku amesema licha ya kudharauliwa, ataendelea kumkingia kifua […]

Read More
 Apple Creator Studio Yaleta Mapinduzi kwa Creators

Apple Creator Studio Yaleta Mapinduzi kwa Creators

Kampuni ya teknolojia ya Apple imezindua rasmi huduma mpya za kulipia zilizopewa jina la Apple Creator Studio, kifurushi kinacholenga kuwasaidia wabunifu wa maudhui (creators) katika nyanja mbalimbali za ubunifu wa kisasa. Kupitia huduma hii, watumiaji wa Mac, iPhone na iPad wataweza kulipia kiasi cha shilingi 32,500 kwa mwezi, sawa na dola 12.99 za Kimarekani, na […]

Read More

Betlive : régler le son et conserver ses préférences de session

Les réglages audio contribuent directement au confort d’une session sur Betlive, surtout dans les jeux en direct et les interfaces riches en animations. Pourtant, les informations publiques ne confirment pas l’existence d’un système universel de sauvegarde des volumes ou des effets sonores. Voici comment vérifier les commandes disponibles, protéger vos choix et distinguer les paramètres […]

Read More

Gamdom : comprendre les clauses d’équité et de dysfonctionnement des jeux

Les règles d’un casino en ligne ne se limitent pas aux gains et aux paiements. Elles précisent aussi ce qui arrive lorsqu’un jeu s’interrompt, affiche un résultat contestable ou rencontre une erreur technique. Pour évaluer Gamdom avec prudence, il faut examiner ses mécanismes d’équité, les preuves disponibles et la procédure à suivre en cas de […]

Read More

Boomerang bet: Live-Casino-Spielverlauf prüfen, wenn ein Ergebnis falsch wirkt

Wenn ein Ergebnis im boomerang bet Live-Casino nicht richtig aussieht, sollten Sie zuerst den Spielverlauf, den Einsatz und den Abrechnungszeitpunkt prüfen. So lässt sich meist unterscheiden, ob nur eine Anzeige verzögert wurde oder tatsächlich eine Unstimmigkeit vorliegt. Dieser Leitfaden zeigt Ihnen, welche Daten Sie sichern, wie Sie die Runde einordnen und wann der Support helfen […]

Read More
 Tenge Tenge Aangua Kilio Baada ya Kukutana na IShowSpeed Kenya

Tenge Tenge Aangua Kilio Baada ya Kukutana na IShowSpeed Kenya

Content creator kutoka Uganda, Tenge Tenge, ameshindwa kabisa kuzuia hisia zake baada ya kukutana ana kwa ana na streamer na YouTuber wa kimataifa IShowSpeed wakati wa ziara yake nchini Kenya. Katika tukio lililovutia hisia za wengi, Tenge Tenge alionekana akimkumbatia IShowSpeed huku akitiririkwa na machozi ya furaha. Tenge alisikika akieleza wazi namna ambavyo anamkubali na […]

Read More