Rais William Ruto Amkaribisha IShowSpeed Kenya

Rais William Ruto Amkaribisha IShowSpeed Kenya

Rais William Ruto amemkaribisha rasmi streamer na YouTuber maarufu duniani, IShowSpeed, nchini Kenya huku akitaja Kenya kama taifa lenye hisia, msukumo na mvuto wa kipekee usiolinganishwa na nchi nyingine yoyote. Kupitia video iliyochapishwa mtandaoni, Rais Ruto amesema Kenya siyo nchi ya kawaida bali ni mahali penye uhai na hisia zinazogusa mioyo ya watu. Ameeleza kuwa […]

Read More
 Google Yaunganisha Akili Bandia ya Gemini Ndani ya Gmail

Google Yaunganisha Akili Bandia ya Gemini Ndani ya Gmail

Google imetangaza rasmi kuingiza akili bandia yake ijulikanayo kama Gemini ndani ya mfumo wa barua pepe wa Gmail, hatua inayokuja na mabadiliko makubwa kwa watumiaji wake duniani kote. Kuanzia sasa, watumiaji wa Gmail wataanza kuona mwonekano mpya wa Gmail, sambamba na huduma mpya za akili bandia zitakazosaidia kuandika na kujibu barua pepe kwa urahisi zaidi. […]

Read More
 Stevo Simple Boy Adai Kushawishiwa Kujiunga na Freemason

Stevo Simple Boy Adai Kushawishiwa Kujiunga na Freemason

Msanii wa muziki kutoka Kenya, Stevo Simple Boy, amefunguka tusiyoyajua kuhusu maisha yake kwa kudai kuwa aliwahi kupewa ofa ya kujiunga na kundi la Freemason kwa ahadi ya kulipwa shilingi milioni 10, lakini alikataa. Akizungumza na Dkt. Ofweneke, Stevo amesema kuwa kulikuwa na kipindi katika safari yake ya muziki ambapo watu wasiojulikana walimshawishi ajiunge na […]

Read More
 Kajala Awaasa Mabinti Kuwaogopa Wanaume Wasiowapa Hela ya Matumizi

Kajala Awaasa Mabinti Kuwaogopa Wanaume Wasiowapa Hela ya Matumizi

Mpenzi wa Harmonize, Kajala Masanja, ametoa onyo kali kwa mabinti kuhusu aina ya wanaume wanaopaswa kuwaepuka kwenye mahusiano. Kupitia Instastory yake, Kajala amewataka mabinti kuwa makini sana na wanaume wasiotoa msaada wa kifedha kwa wenza wao. Kwa mujibu wa Kajala, mwanaume anayeshindwa au kukataa kumpatia mwanamke hela ya matumizi ni ishara ya hatari katika mahusiano. […]

Read More
 Mwijaku Akubali Kuzichapa na Dudu Baya

Mwijaku Akubali Kuzichapa na Dudu Baya

Mtangazaji na mdau wa burudani, Mwijaku ameonekana kuumizwa na tuhuma zilizoibuliwa dhidi yake na msanii mkongwe Dudu Baya ambapo amekiri hadharani yuko tayari kuzichapa naye ana kwa ana iwapo itaendelea kuvuka mipaka ya kumvunjia heshima. Akizungumza kwa hasira, Mwijaku amesema amechoshwa na kile alichokitaja kuwa ni tuhuma za uongo na za kumdhalilisha, akidai Dudu Baya […]

Read More
 Dudu Baya Amwaibisha Mwijaku kwa Tuhuma Nzito

Dudu Baya Amwaibisha Mwijaku kwa Tuhuma Nzito

Msanii mkongwe wa Bongofleva, Dudu Baya, amemwaibisha hadharani mtangazaji na mdau wa burudani Mwijaku kwa kuibua madai mazito dhidi yake. Akizungumza katika mahojiano ya hivi karibuni, Dudu Baya amedai kuwa Mwijaku kwa sasa hana makazi ya kudumu baada ya kudaiwa kufurushwa na mke wake kutoka katika nyumba aliyokuwa akiishi, hatua aliyodai ilitokea baada ya ndoa […]

Read More
 Whozu Akanusha Kutoka Kimapenzi na Lulu Diva

Whozu Akanusha Kutoka Kimapenzi na Lulu Diva

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Whozu, amekanusha vikali madai yanayotembea mtandaoni zikimuhusisha kutoka kimapenzi na Lulu Diva, rafiki wa mwanamke wake Wema Sepetu. Kwenye mkao na waandishi wa habari, Whozu amesema madai hayo hayana ukweli wowote, akisisitiza kuwa yeye na chimama wake Wema Sepetu wako vizuri na wanaendeleza upendo wao bila ugomvi wowote. Msanii […]

Read More

Vinyl casino : ajouter et confirmer un compte dans les listes de paiement autorisées

Les listes de paiement autorisées déterminent les pays, devises et moyens disponibles avant un dépôt ou un retrait. Sur casino vinyl, l’interface française et l’affichage en euros ne suffisent pas à confirmer qu’un compte français peut être ouvert. Il faut vérifier le pays accepté, le titulaire du moyen de paiement et les contrôles d’identité avant […]

Read More