Entertainment

Breeder LW atangaza ujio wa Extended Playlist yake mpya

Breeder LW atangaza ujio wa Extended Playlist yake mpya

Rapa kutoka nchini Kenya Breeder LW ametangaza kuja na Extended Playlist ‘EP’ yake mpya ambayo ameipa jina la ‘Vibes & Ting.

Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii Breeder amewataka mashabiki wake kukaa mkao wa kula kuipokea EP yake hiyo ambayo kwa mujibu wake itaingia sokoni hivi karibuni.

Hitmaker huyo wa “Gin ama Whiskey” amebainisha kuwa kwa sasa unaweza ukai Pre-Order “‘Vibes & Ting ” kupitia digital platforms mbalimbali ikiwemo Apple Music.

‘Vibes & Ting EP ina jumla ya nyimbo 8 za moto ambazo amezifanya mwenyewe bila kumshirikisha msanii yeyote.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *