Breeder LW Aandika Wimbo wa Milioni 6 YouTube Akiwa Bypass!

Breeder LW Aandika Wimbo wa Milioni 6 YouTube Akiwa Bypass!

Rapper maarufu wa Kenya, Breeder LW, amewashangaza mashabiki wake baada ya kufichua kuwa aliandika na kurekodi wimbo wake maarufu “Dedi Dedilee” kwa dakika 10 tu,  akiwa kwenye Barabara ya Southern Bypass, Nairobi. Kupitia Insta Story yake, Breeder alisema kwamba aliuchana au freestyle wimbo huo mzima papo hapo, bila maandalizi maalum. Kulingana naye, hii ilikuwa moja ya nyimbo […]

Read More
 Maandy azima tetesi za kutoka kimapenzi na Breeder LW

Maandy azima tetesi za kutoka kimapenzi na Breeder LW

Rapa Maandy kwa mara nyingine amekanusha madai yote kwamba yeye na msanii Breeder LW ni wapenzi. Kupitia ukurasa wake wa Instagram akiwajibu mashabiki zake waliokuwa wakidhani kwamba wanachumbiana, Maandy amethibitisha kwamba madai hayo hayana ukweli wowote. Hitmaker huyo wa ‘Ni Wetu’ ameeleza kwa kina kwamba mwanamke aliyepiga picha na Breeder LW wakiwa kwenye mahaba mazito, […]

Read More
 Breeder LW atangaza ujio wa Extended Playlist yake mpya

Breeder LW atangaza ujio wa Extended Playlist yake mpya

Rapa kutoka nchini Kenya Breeder LW ametangaza kuja na Extended Playlist ‘EP’ yake mpya ambayo ameipa jina la ‘Vibes & Ting. Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii Breeder amewataka mashabiki wake kukaa mkao wa kula kuipokea EP yake hiyo ambayo kwa mujibu wake itaingia sokoni hivi karibuni. Hitmaker huyo wa “Gin ama Whiskey” amebainisha kuwa kwa sasa unaweza ukai Pre-Order […]

Read More
 BREEDER LW MBIONI KUACHIA COLLABO YAKE NA EXRAY TANIUA

BREEDER LW MBIONI KUACHIA COLLABO YAKE NA EXRAY TANIUA

Habari nzuri kwa mashabiki wa muziki nchini ni kwamba tutarajie muda wowote ujio wa Collabo kati ya Exray na Rapper Breeder LW. Breeder LW amethibitisha taarifa hiyo kwa mashabiki kupitia mahojiano yake ya hivi karibuni ambapo amewataka mashabiki kukaa mkao wa kula kupokea wimbo huo. Iwapo Breeder Lw na Exray wataachia collabo yao hiyo itakuwa […]

Read More
 RAPPER BREEDER LW ATANGAZA UJIO WA KOLABO YAKE NA MEJJA

RAPPER BREEDER LW ATANGAZA UJIO WA KOLABO YAKE NA MEJJA

Habari nzuri kwa mashabiki wa muziki nchini ni kwamba tutarajie muda wowote ujio wa Collabo kati ya mejja na Rapper Breeder LW. Breeder LW amethibitisha taarifa hiyo kwa mashabiki kupitia insta story kwenye mtandao wa Instagram ambapo ameshare clip fupi ikimuonyesha akiwa location na mejja wakishoot video ya wimbo wao mpya ambayo kwa mujibu wake […]

Read More
 BREEDER APOKEZWA TUZO YA SILVER PLAY BUTTON NA MTANDAO WA YOUTUBE

BREEDER APOKEZWA TUZO YA SILVER PLAY BUTTON NA MTANDAO WA YOUTUBE

Rapa kutoka nchini Kenya Breeder LW ametunukiwa tuzo ya silver play  button na mtandao wa youtube baada ya rapa huyo kufikisha jumla ya subscribers laki moja kwenye mtandao huo. Breeder LW ametumia ukurasa wake wa instagram kuwashukuru mashabiki zake kwa kumpa support kwenye muziki wake ambao unazidi kuonyesha mafanikio makubwa huku akiahidi kuendelea kuwapa muziki […]

Read More
 ALBUM YA RAPA BREEDER LW “BAZENGA MENTALITY” YAWEKA REKODI BOOMPLAY KENYA

ALBUM YA RAPA BREEDER LW “BAZENGA MENTALITY” YAWEKA REKODI BOOMPLAY KENYA

Album ya Rapa breeder Lw, Bazenga Mentality inaendelea kufanya makubwa kwenye mitandao ya kuuza na kusikiliza muziki duniani. Mpaka sasa imefikisha jumla ya streams MILIONI 1 kwenye mtandao wa kupakua na kusikiliza muziki wa Boomplay. Album hiyo  ya ” Bazenga Mentality ” iliachiwa rasmi Juni 30 mwaka wa 2021, ikiwa na jumla ya mizinga 15  za moto. Ikumbukwe Album […]

Read More