Entertainment

Burna Boy awaomba radhi mashabiki

Burna Boy awaomba radhi mashabiki

Staa wa muziki nchini Nigeria Burna Boy amewaomba radhi mashabiki zake hii ni baada ya kuchelewa kupanda jukwaani kwenye show yake huko Lagos.

Burna Boy amefunguka kuwa haikuwa dhamira yake kuchelewa kupanda jukwaani ila miundombinu ya tamasha hilo haikuwa sawa mfano muziki ulikuwa hauko vizuri jambo ambalo lilimlazimu kusubiri mpaka mambo yakae sawa.

Lakini pia Burna Boy amewaalika wawekezaji kuwekeza kwenye sekta ya muziki haswa kwenye vifaa vinavyowezesha wasanii kufanya show bora.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *